Eti wanawake wa JF especially MMU, wana AKILI nyingi kuliko Wananaume wa JF esp MMU!

Hata sijui nichangie nini

Hahahahaaa!
Kiasi ushindwe na chakuchangia!
Coz you are the 1 among few men who have many likes!
...
Labda nikupe mwongozo!
Kuna ke ni hodari sana! But staki kuamini kama wanawazidi me! May be wako sawa! But likes zao ni nyingi mno!
Kuna wengine ukiona mada zinazohitaji ushauri, wanatoa pumba tupu! But still wanalikes nyingi tu!
Embu jaribu kuangalia thired zinazohitaji ushauri, angalia ushauri wa me then ke!
Nadhani umenisoma hapa!
 
Hapa sababu kubwa ni kwamba wanaume ndo tunawaweka wanawake mjini kwa kuwapa likes nyingi,
Na wakati huo huo tunashindwa kupeana likes wenyewe..
We angalia hizo likes nyingi utakuta mtu kapewa na wanaume kwa sana.
 
^^
Nakubali wanawake wa JF wana akili sana ukilinganisha na hawa ninao waona huku kijiweni nilipo.
Wanastahili likes.. Pia wanaweza kucheza na akili zako usipokuwa makini na taarifa zako unaweza kujikuta upo uchi.
Ngoja nicheke na vilaza wenzangu outside JF
^^

Himidini.....upo.
Ni muda mrefu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom