Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,352
watu hawataki kuwa wavumilivu...mwanamke tu kajifungua,mtu anachukua house girl.....mama ana mapungufu,badala mtu amsaidie kubadilika,amvumilie,ashirikishe wazee na kumuombea....anaona house girl hapo ana lala nae....watu wana simplify maisha kupita kiasi...kwa mtindo huo yabidi kukaa kwa akili,kama elimu huna na kuna nafasi ya kusoma,kufungua biashara fanya hivyo.....nyumba kama unaweza jenga kwa akili.....kikinuka,ondoka si mpaka uje uwekewe sumu na mke mwenzio house girl hapo ndani ukijidai kutaka heshima na mwanamke uvumilivu.....au unasemaje Nyamayao?
kila uvumilivu una kiac chake tunavumilia sana ndio mana bado tupo kwenye hizi ndoa, kujiweka sawa Michelle ni kitu cha muhimu sana kwa ndoa za cku hizi coz hazitabiriki kabisa kabisa....bora tu mtu ujiweke tayari kwa lolote huko mbeleni.