Eti wanaume sio wenzetu??na je wanawake si wenzenu!

Ndoa haziwezi kudumu kwa sababu asilmia kubwa ya wanandoa wa kisasa mali ni first priority! Yaani kuna mtu alinishangaa kwa nini napitisha mshahara wangu kwenye joint account yangu na mume wangu wakati huyo mdada ni mke wa mtu tena ni mlokole. Yani alinisihi kabisa nifikirie kwanza kwani yeye ndo alikuwa cashier wetu. Nilimshangaa sana. Well hapo ndo nilikuwa nimeolewa now it is 9 years bado sijaona ubaya wa kushare account na mume wangu. Mentality tulonazo ndio zinazoharibu ndoa zetu.

du hii kali huyu mlokole badala ya kukutia moyo anakushangaa kazi kweli kweli
 
ndoa za cku hizi ni za kuoteana sana, atakaemuotea mwenzie twende, kuaminiana/kushirikianao kwa uaminifu kumepotea kabisa, ndoa za cku hizi unatakiwa uwe na akili za ziada kabisa.

SAMAHANI NYAMAYAO,
UNAMAANISHA NINI?,
SIJAKUELEWA, akili za ziada zipi?, kivipi?.
 
[/COLOR]

SAMAHANI NYAMAYAO,
UNAMAANISHA NINI?,
SIJAKUELEWA, akili za ziada zipi?, kivipi?.

bila samahani...akili za ziada za kusoma alama za nyakati, may b ndoa zenu ziwe zile zilizobarikiwa kutokuwa na hitilafu, kwa sie tulioona hitilafu kidogo japo tulirekebisha but nilizidi kufunguka na kujua ninatakiwa kutumia akili ya zaida huko mbele tuendako..nyumba kubwa amezungumzia joint acc na mr wake na hajaona tatizo lolote 9 yrs sasa, kwa mie cdhubutu kabisa wala ctakaa niwe na hilo wazo la joint acc, kwa sababu zangu binafc.... kila ndoa ina formula yake.
 
Asante kwa kunielewesha,
na nakubaliana na wewe kuwa,
sometimes matatizo licha ya kutuumiza,lakin
nadhani yanakuwa yanaongeza uwezo wa kufikiri ubongo wetu.

Hilo la JOINT AC ameliona halina tatizo ksb amepata Mume mwelewa ,
lakin pia azidi kuomba MUNGU huyo Mume asije kubadilika na kuuvua ubinadamu,
kwani ataujutia huo uamuzi wa kupitisha mshahara wake kwa mumewe.

UMALAIKA NA USHETANI zote ni tabia za binadamu ni jambo la kuamua tu kuwa,
utumie tabia ipi.
 
utumie tabia ipi
.

umesema vema....azdi kumweka mume wake kwenye maombi sana sana.....
 
bila samahani...akili za ziada za kusoma alama za nyakati, may b ndoa zenu ziwe zile zilizobarikiwa kutokuwa na hitilafu, kwa sie tulioona hitilafu kidogo japo tulirekebisha but nilizidi kufunguka na kujua ninatakiwa kutumia akili ya zaida huko mbele tuendako..nyumba kubwa amezungumzia joint acc na mr wake na hajaona tatizo lolote 9 yrs sasa, kwa mie cdhubutu kabisa wala ctakaa niwe na hilo wazo la joint acc, kwa sababu zangu binafc.... kila ndoa ina formula yake.

hapo sijawahi hata kufikilia jambo hilo
 
Ndoa haziwezi kudumu kwa sababu asilmia kubwa ya wanandoa wa kisasa mali ni first priority! Yaani kuna mtu alinishangaa kwa nini napitisha mshahara wangu kwenye joint account yangu na mume wangu wakati huyo mdada ni mke wa mtu tena ni mlokole. Yani alinisihi kabisa nifikirie kwanza kwani yeye ndo alikuwa cashier wetu. Nilimshangaa sana. Well hapo ndo nilikuwa nimeolewa now it is 9 years bado sijaona ubaya wa kushare account na mume wangu. Mentality tulonazo ndio zinazoharibu ndoa zetu.

HUYU MAMA (MLOKOLE), aliyekushangaa kwa nn unapitisha huo mshahara kwa mumeo,
wala usimwone wa ajabu sana, naamini alikuwa ana sababu ya kufanya hivyo.
Nyumba kubwa lililo muhimu wewe,
MWAMBIE MUNGU ASANTE UMEPATA MUME MWENYE UELEWA HUO WA KUTOKUKUUMIZA. na hata mtu mwingine anapokushangaa wewe kuwa imani hiyo kubwa kwa mumeo wala usimshangae bali uwe unamuuliza kwa nini anakushangaa.
KUMWAMINI MUMEO NI JAMBO ZURI SANA KATIKA NDOA,NA NI JAMBO LENYE KUTUTUBISHA NDOA YENU,
LAKIN PIA UKUMBUKE KUWA HAO JIRANI,MARAFIKI AU NDUGU UNAOWAONA,SIMULIWA,WASIKIA WAKILIZWA NA HAO WALIOKUWA NA WAUME/WAKE ZAO WALIOWAAMINI 100% FAHAMU KWAMBA HAWAKUPANGA WALA HAWAKUPENDA ILA NI UTIMILIFU TU WA MAISHA KUWA YA PANDE MBILI yaani FURAHA AU HUZUNI, KUSHINDA AU KUSHINDWA.

NARUDIA TENA MSHUKURU SANA MUNGU KWA KUPATA MUME MWEMA NA OMBA USIKU NA MCHANA AENDELEE KUWA MWEMA MPAKA MWISHO WA PUMZI ZENU.
 
bila samahani...akili za ziada za kusoma alama za nyakati, may b ndoa zenu ziwe zile zilizobarikiwa kutokuwa na hitilafu, kwa sie tulioona hitilafu kidogo japo tulirekebisha but nilizidi kufunguka na kujua ninatakiwa kutumia akili ya zaida huko mbele tuendako..nyumba kubwa amezungumzia joint acc na mr wake na hajaona tatizo lolote 9 yrs sasa, kwa mie cdhubutu kabisa wala ctakaa niwe na hilo wazo la joint acc, kwa sababu zangu binafc.... kila ndoa ina formula yake.

Acha woga wa hapo kwenye red,,,lol
 
Ndio maana makabila mengine wanawaibia pesa badae wanastukia wake zao wana magorofa kwao sababu ya hii hii kuogopa yasimkute.
 
ha ha ha ila mme akigundua kizaazaaa na ndoa inaweza kuvunjika
 
Acha woga wa hapo kwenye red,,,lol

hapana daima...may b yeye apitishe kwenye yangu, mie nikipitisha kwake itaanza ku2letea migogoro ndani ya nyumba, tena icyoisha....bado cjawa na imani hiyo aisee..
 
ha ha ha ha hiyo red nimeipenda......
ok naheshimu msimamo wako.
 
ha ha ha ila mme akigundua kizaazaaa na ndoa inaweza kuvunjika
Sasa atafanyaje mwanamke, labda hapo kaangalia mke mwenzake kafiwa na mume mali zikachukuliwa na ndugu, au mume yupo busy anamjengea hawara nyumba hapo hata mimi najenga kisiri akija jua namwambia ni kwa sababu gani nimefanya vile.
 
hivi kwa mfano atajuaje?ukiamua kufanya cri unajitoa kweli kweli iwe cri...c anacmamia hata ndugu yako mwanzo mwisho?...mie nikiamua hivyo nahakika hatajua kabisa labda nimwambie mwenyewe....
 
Back
Top Bottom