Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!

Nashukuru aliyekuombea kwa sababu nlikuwa natafuta jibu unalostahili,najuta kusoma hi thread ila wewe ndo mvuta bangi na madawa ya kulevya,
 
  • Thanks
Reactions: FJM
huyu mjinga nae katoka wapi na mada ya jabu kama hii.........ufinyu wa mawazo na upe mdog wa kufikiri unakusumbua........
 
FJM.

This guy is desperate, the assignment given to him is overwhelming, the tides are sweeping the feet of CCM and cronies away. Yet he has to account to his masters on the exercise to frustrate great thinkers in JF which he has failed and embarked to insulting.

The good thing is I am getting to know their demented mind set. Therefore it justifies more to pursue the current CDM strategies because they are really having an effect to these mafisadi and they are coming out naked.
 
Aombe msamaha wakati amesema ukweli. Wanacdm wanasema CCM ni wizi, sasa je CCM wote ni wizi? Mbona hakuna hata mmoja wa wakereketwa wa CCM alikuja sema aombwe msamaha. Sasa nyie kuitwa wavuta bangi ndio iwe kesi. Acha hizo wewe. Unataka kusema SUGU sio mvuta Bangi?
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Tupe huo uwiano,wanawake walikuwa wangapi,wazee wangapi,vijana wangapi,vijana jobless?acha chuki ndugu
 
Chadema hawapend kuambiwa ukweli! Nahis all the time mpo high
Join Date : 28th April 2011
Posts : 45
Thanks 0Thanked 3 Times in 2 Posts

Rep Power : 0

Ni wazi mnaeleweka sasa kwa agenda ya kuokoa dau linalozama hadi umeanza matusi kuwa CDM ina "nguvu ya wavuta bange" This can only come from an ass.
 
Aombe msamaha wakati amesema ukweli. Wanacdm wanasema CCM ni wizi, sasa je CCM wote ni wizi? Mbona hakuna hata mmoja wa wakereketwa wa CCM alikuja sema aombwe msamaha. Sasa nyie kuitwa wavuta bangi ndio iwe kesi. Acha hizo wewe. Unataka kusema SUGU sio mvuta Bangi?

je CCM wote ni wizi? - Yes, CCM wote ni wezi. WOOOOOTE kabisa bila kujali ni balozi wa nyumba kumi kumi au ni katibu mwenezi. HOW? - Ushindi wa 2005 ulikuwa mnono sana (80%) misafara ilikuwa na bling bling za mashingi watu tukajiuliza hela zimetoka wapi? Now we know - EPA. Kama kuna mwana-ccm yeyote anataka kujitasa basi inabidi aukane ushindi wa kishindo wa 2005. Hapa sijaongelea posters za 2010 kila kona ya nchi. WEZI WOTE.
 
Chadema wote wavuta bange
je ccm wote ni wizi? - yes, ccm wote ni wezi. Wooooote kabisa bila kujali ni balozi wa nyumba kumi kumi au ni katibu mwenezi. How? - ushindi wa 2005 ulikuwa mnono sana (80%) misafara ilikuwa na bling bling za mashingi watu tukajiuliza hela zimetoka wapi? Now we know - epa. Kama kuna mwana-ccm yeyote anataka kujitasa basi inabidi aukane ushindi wa kishindo wa 2005. Hapa sijaongelea posters za 2010 kila kona ya nchi. Wezi wote.
 
Huyo Mkama akisoma thread zenu humu jf atakuwa very dissapointed nadhan alidhan mnaweza kusaidia uvuaji wa gamba kupitia Jf,lakini Tolowoski na wenzako mnachokifanya ni upupu mtupu..jaribu tena baadae.
 
je CCM wote ni wizi? - Yes, CCM wote ni wezi. WOOOOOTE kabisa bila kujali ni balozi wa nyumba kumi kumi au ni katibu mwenezi. HOW? - Ushindi wa 2005 ulikuwa mnono sana (80%) misafara ilikuwa na bling bling za mashingi watu tukajiuliza hela zimetoka wapi? Now we know - EPA. Kama kuna mwana-ccm yeyote anataka kujitasa basi inabidi aukane ushindi wa kishindo wa 2005. Hapa sijaongelea posters za 2010 kila kona ya nchi. WEZI WOTE.

Omba msamaha kwa 80% ya watanzania(Tena tuma Barua kwa Familia ya nyerere kuomba msamaha kwa kuwaita wizi)
 
Hao wasikuwa na kazi ndio watu wenye uwezo wa kuandamana na kupinga serikali kwani hawana cha kupoteza. Kwa hiyo watu jobless ni jeshi nzuri sana wakati wa ukombozi. Pia kwa hali ya uchumi wa Tanzania watu wa aina hii ndio walio wengi. Na hawa ndio watakao itoa CCM madarakani.

Kwa taarifa yako tu, mtu ambaye ni chanzo cha mageuzi yanaoendelea huku katika nchi za Kiarabu alikuwa ni mmachinga tu alikuwa anaitwa Tarek al-Tayyib Muhammad Bouazizi . Alikuwa anauza maembe kwa mkokotoni. Baada ya kunyanyazwa na watalawala ndio aliamu kujipiga kiberiti. Kilichofuata ni maandamano, marais wa Tunisia, Misri wameanguka. Yemen, Sirya, Libya mpaka Uganda jirani hapa viongozi wana wasiwasi mkubwa.

Angalia hapa kwa taarifa zaidi
Mohamed Bouazizi - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Omba msamaha kwa 80% ya watanzania(Tena tuma Barua kwa Familia ya nyerere kuomba msamaha kwa kuwaita wizi)

Done, a long time ago. Kama unataka kuona copy wasiliana na Vicent Kiboko Nyerere. Chadema Musoma Mjini. That's our style of apologising.
 
Chadema hawapend kuambiwa ukweli! Nahis all the time mpo high
Kama una majini/mashetani,then hauwezi endana na bangi.Ndo ukweli huo.Ni kama tu jinsi huwezi handle kiti moto.I really love anything that your type cant handle.Inaondoa mashetani.Na wengi wenu yamewajaa!
 
Aliyeleta wazo la kuficha id ya mtu jf alikosea na kupatia pia. Nenda fb ukapost huu upupu kama ulivyo
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

kamwambia mama yako hayo maneno
 
Back
Top Bottom