johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,998
- 142,021
Kwa mara ya mwisho nguvu ya Mikutano ya kisiasa niliiona pale Mwembeyanga kwenye ile list of shame ambayo hadi leo wajukuu wanarithishwa dhambi
Nawaona Chadema ni kama wako serious hivi kwenye Mikutano yao sasa sijui ile Asali imegeuka shubiri au namna gani
Tuzidi kumuombea Tundu Lisu, Mbowe, Mnyika na Chadema kwa Ujumla maana vyama vingine Vyote vya Upinzani vilishadakishwa na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Mungu wa mbinguni awabariki 😀