Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!

IMG_4530.jpg
 
Basi nchi hii sote tunavuta bangi.......ila sijui mvuta bangi anajulikana vipi.....hebu waanagalieni hawa na mniambie yupi mvuta bangi

CHADEMA1.jpg
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
Tuombe radhi sisi mashabiki wa CHADEMA, take care of what comes from youre mouth.
Tangu lini wazee wakafanya revolution????????. VIJANA NI CHACHU YA MAENDELEO!
 
this people keep amazing me everyday... wanafundishwa na cdm kila siku makosa yao lakini hawataki kubadilika na kuyafanyia kazi hayo

makosa wao wameamua kulipa vibaraka kama wewe kuja kuandika upuuzi humu,, stupidante indeedo!!!! waambieni hao mazuzu wafanye kazi kwa uadilifu.. na sio siasa za kijinga
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! ! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Inawezekana Tafsiri ya Umma kwako wewe ni wale watu wanaokuja kwenye mkutano kwa kubebwa kwenye malori kutoka kijijini na kupewa posho na sio hiari yao
Pia Nguvu ya Umma kwako wewe ni ule Ummati unaokuja kwa sababu ya kuwepo kwa kundi la Orijino Commedy na wasanii wengine ndo unawaona wenye Busara sana.
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Mkuu hapo kwenye red tunashukuru kwa kutufahamisha, ni ukweli mtupu, kwa mfano haya maneno " MFUNGENI MILANGO TUPIGANE" :mvutaji:
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Ni kweli iliyowazi kuwa kuna binadamu wengine ni wanyama kwa tafsiri ya kibailojia lakini unyama ambao wewe umeuonyesha ni extreme unyama.Sijui kama kweli wewe ni sehemu ya propaganda za CCM,hakika nchi hiko mashakani.Hao unawaona kuwa ni wavuta bangi jiulize wamefikaje hapo.Ikiwa mke wa waziri huko south Africa kahukumiwa kwenda jela kwa kuwa ni msambazaji wa madawa ya kulevya [Pusha] iweje hapa kwetu,usambazaji wake kwa kada hiyo husika hapo juu ni kubwa.Na wao wanaopaswa kulinda wanaona ni sehemu njema tu ya kujenga aina fulani ya kundi la jamii kundi la ovyo kwenye jamii wanalofikili wanaweza kulitawala,kumbe sivyo wanajiundia bomu.Kundi hilo kwako wewe unalolifananisha na wanyama likipata chama kikavaa hisia zao kama sasa inavyoendelea hakika watu kama wewe na kizazi chako hawatakuwa salama asilimia mia.Kama unaijua Liberia ya kina John Kichaa ndio hii wewe uanayoiumba,na wale wote wenye kufili kuwa kuwanyima umma uhakika wa maisha uataunda mfumo mzuri wa kuwatawala hakika ni kosa kubwa kwao na vizazi vyao japo awaamini.

Ni juzi juzi hapa Mh Kikwete alikua anakaa Presidential Penthouse na Hussein Mubaraka uwezi kuamini unaowaita wewew wavuta Bangi [umma],wamemfikisha kwenye mahakama ajibu tuhuma za kujilimbikizia mali yeye familia yake na wapambe wake wa miaka ya utawala wake.

What goes around comes around [this is nature].penda usipenda itakuja tena soon otherwise watawala wajikomboe kutoka kwenye jinamizi hilo la ufisadi hiyo ndio pona yao
 
Hivi sasa Tanzania imegeuzwa nchi ya matabaka na sera za sasa za CCM; ambapo kuna watu wachache walionacho na kundi kubwa la wananchi ambao sera hizo za ugandamizaji zimesababisha wasiwe na mbele wala nyuma. Ni kundi hilo la wananchi kutokana na kukata tamaa baadhi yao wametumbukia katika vitendo hivyo vya uvutaji bangi. Ni tabaka la watu wa aina hiyo ndio CDM imepania kuwakomboa. Kwa upande wake CCM nayo imepania kuhakikisha ya kuwa aliyenacho anaongezewa kwa kuzurumu hilo tabaka la wanyonge.
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

It is insults perpetrated by people like Tolowski and his (?her) fellow CCM colleagues, directed at and vilifying Tanzanians of modest means and incomes, which are driving people to join CHADEMA in their thousands. Most drug abuses are caused by desperation. Let people like Tolowski join Nape Nnauye and other naive recruits into the leadership of CCM, so that they hasten its disintegration.

Viongozi wa CDM wanaeleza kwamba WaTz. wengi ni maskini wa kutupwa na wamekata tamaa. Wanaojituma na kufanya kazi kwa bidii, kipato chao hakitoshelezi kutokana na mlipuko wa gharama za maisha, unaosababishwa na sera za Serikali ya CCM. Sera mbovu za Serikali pamoja na kushindwa kwa viongozi wake kudhibiti ukwapuaji wa mali za umma, unachangia kudidimiza uchumi na hali duni ya huduma za kijamii.

CDM tunataka hawa WaTz. wanaotukanwa na kudharauliwa na wakinaTolowski waelewe mazingira yanayosababisha uduni wa maisha yao; waelewe kwamba kama hospitali zao hazina dawa, au watoto wao hawapati elimu bora ua barabara zao hazipitiki, ni kutokana na Serikali yao kufumbia macho wezi wa fedha zitokanazo na kodi wanazolipa na ufisadi unaokithiri ktk miradi ya umma. Watuunge mkono kwa kujiunga na Chama chetu, ili tulete mabadiliko ya kweli tutakaposhiriki katika uchaguzi mkuu ujao.

Vijana wa CDM, uzi ni huo huo. Hakuna kulala mpaka kieleweke!!!!!!!!!!
 
tolowiski like ur name, u sound shit bra, that's isn't sound of a man, ur real an assho.... in front of me people like u gat a soap to wash ur mind up.
halla fellows who are really revOLUTIONISTS lets don give a damn, tomorrow 'l be tz pliiz people lik omar wanna mate u. CDM ya everywhere hope for tanzanian
mi nakushauri ungetumia lugha ya kiswahili, naona hapo hujaandika ila umehara kizungu.
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!

Kweli ni bora mkutano wako uhudhuriwe na wenye hekima 10 ambao wana kura kumi, kuliko wavuta bangi 1000 ambao wana kura elfu. Kisha utachaguliwa kuongoza nchi kwa kuiba kura 990 za wavuta bangi, ukachanganya na zile 10 za wenye hekima na kujitangaza mshindi kwa kura 1000 huku mpinzani wako ukimwachia 10 tu. MAKOFI!
 
Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
hawa wavuta bangi ni watanzania kama wewe na wana haki zote za msingi ni aibu kuanza kubaguana kwa misingi ya uwezo kws maana hao unaowaita wavuta bangi ni zao la mgawanyo duni wa rasilimali.za taifa
 
Unbeliavable! Tolowski what's going on dear? Hivi kweli Watanzania tumefikia hatua ya kubaguana kiasi hiki? kwamba vijana wasio na kazi sio binadamu? Katika context ya siasa za Tanzania umma unatumika kumaanisha wananchi - hususan wapiga kura. Haijawahi kutokea katika historia ya nchi yeyote (Tanzania included) kwamba kati ya wapiga kura kuna nyani, tumbili, kuku na the likes. Ni umma, kwa maana ya binadamu -raia wa mahali husika mwenye kutimiza masharti ndio anapiga kura.

Sasa, kama Arusha ina vijana wavuta bangi ambao kwa tasfiri yako si umma (si binadamu) kwa nini Batilda alikuwa anagombea kiti cha ubunge Arusha? Kwa nini ccm walimwaga hela ili mgembea wao achaguliwe? Yule meya wa kuchonga anaongoza sungura? Ni kitu gani hasa kimesababisha hawa vijana wakavuta bangi? Na kwa nini vijana hawana kazi? Naomba nikukumbushe, hakuna mzazi anatamani mtoto wake akiwa mkubwa awe mvuta bangi, muuza machungwa barabarani, muokota chupa, msukuma mkokoteni au hata muuza viberiti ubungo mataa.

Ni utawala mbovu ndio unawataka kuwapeleka kuzimu na ndio maana 'kwa ujasiri na ubunifu' wa kujitafitia ajira basi wanafanya hivyo. Inawezekana kabisa kwa kuuza viberiti hawa vijana hawatakaa wapate hela za kutosha na kujenga makazi yao karibu na wewe huko masaki au karibu na ile nyumba yako uliyompangisha 'mzungu' Oysterbay! Ila wanalipa bill zao kwa jasho lao tena jasho zito! the fact that you wrote this gabbage says more about you that it says about vijana wa Tanzania. You should be ashamed of yourself and on behalf of your parents I sincerely apoligise to all Tanzanian vijana for bringing into this planet such a useless cow!

Kwa hoja aliyotoa jamaa sijui kama atailewa shule uliyompa nasema siamini
 
Back
Top Bottom