Eti vitambulisho vya machinga ni ukombozi?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,279
Reaction score
98,328
Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa kulipia hivyo vitambulisho.

Je hilo ndiyo kusudi halali la hivyo vitambulisho?
Unamlazimishaje mtu kupata msaada kama hataki?
 
Ni kamongos tu ndiyo wanaoweza kuona dhuluma dhidi ya machinga kama ni ukombozi.

Swali zuri sana hili Mkuu. Hii pesa itapigwa vibaya sana.
Unajua jiwe style zake za kutuibia zimehama kutoka calculated theft na kuwa UPORAJI WA NGUVU.
Umesema vitambulisho ndio ukombozi wa machinga, inakuwaje machinga wenyewe hawataki "ukombozi" huo hadi utumie nguvu "kuwakomboa"?
Sasa maRC ndio wanaingia mitaani kuwalazimisha wanunue vitambulisho kwa nguvu
 
Inasikitisha sana ni bora wangesema ukweli kuwa ni njia ya kukusanya kodi tungeelewa
Ni kamongos tu ndiyo wanaoweza kuona dhuluma dhidi ya machinga kama ni ukombozi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni fully maigizo haiwezekani wewe umlazimishe mtu achukue msaada kama hautaki huo ni ukatili
Unajua jiwe style zake za kutuibia zimehama kutoka calculated theft na kuwa UPORAJI WA NGUVU.
Umesema vitambulisho ndio ukombozi wa machinga, inakuwaje machinga wenyewe hawataki "ukombozi" huo hadi utumie nguvu "kuwakomboa"?
Sasa maRC ndio wanaingia mitaani kuwalazimisha wanunue vitambulisho kwa nguvu
 
hivi wengi mnao piga kelele hapa ni wamachinga au waunza maneno hivi mnajua wamachinga walikuwa wanalipishwa ushuru kiasi gani?
now akilipa elfu 20 haguswi kwenye ushuru tena.

vitambulisho vimewasaidia sana wamachinga hapa kariakoo unaona kabisa mwenye kitambulisha ndo anatamba haguswi.

kumuondolea mmachinga msululu wa ushuru na kumtoza mala moja kwa mwaka ni msaada sana kwao

kwenye ukweli usemwe ukweli na sio siasa maji taka
 
Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa kulipia hivyo vitambulisho.

Je hilo ndiyo kusudi halali la hivyo vitambulisho?
Unamlazimishaje mtu kupata msaada kama hataki?
Kwanini vitambulisho hivyo vinauzwa na polisi???

Je mtu akinunua hivyo vitambulisho anapewa risiti ya TRA ??

Hakika hii ni seriali ya wanyongwe.
 
Kwakweli jana nimepigwa na butwaa sana hapa Arusha kuwaona watawala wakitumia nguvu kubwa kulazimisha wanyonge kuvinunua hivyo vitambulisho
Kwanini vitambulisho hivyo vinauzwa na polisi???

Je mtu akinunua hivyo vitambulisho anapewa risiti ya TRA ??

Hakika hii ni seriali ya wanyongwe.
 
Hama hakuna mwenye siasa bali tunahoji huo ulazimishaji wa hao wanye mamlaka kuwatishia wamachinga kuwa ni lazima wavinunue hivyo vitambulisho
hivi wengi mnao piga kelele hapa ni wamachinga au waunza maneno hivi mnajua wamachinga walikuwa wanalipishwa ushuru kiasi gani?
now akilipa elfu 20 haguswi kwenye ushuru tena.

vitambulisho vimewasaidia sana wamachinga hapa kariakoo unaona kabisa mwenye kitambulisha ndo anatamba haguswi.

kumuondolea mmachinga msululu wa ushuru na kumtoza mala moja kwa mwaka ni msaada sana kwao

kwenye ukweli usemwe ukweli na sio siasa maji taka
 
Hivi wauza mchicha nao ni wamachinga?

Back
Top Bottom