Eti vitambulisho vya machinga ni ukombozi?

Hivi vitambulisho ni bias mwenye mtaji wa million 3,9 analipa elfu 20.Muuza mboga mboga mwenye mtaji wa elfu 2000 na yeye anaambiwa alipe elfu 20.Na ndio hawa wauza mboga wanaosumbuliwa zaidi.
 
Hili zoezi naona linapotoshwa sana na watekelezaji
Wao wamepatiwa vitambulisho na boss wao wanaambiwa lazima viishe otherwise wanatemeshwa ukuu wa mkoa,ndo maana na wao wanakamata yeyote ili mradi vitambulisho viishe.
 
Aibu sana!! Hivi vitambulisho hivi sasa vimetolewa kwenye idara zote huku mikoani na wilaya. Mfano maafisa elimu wanawashinikiza walimu nao wachukue ili wapate urahisi wa kuuza mazao yao kama wamelima au kuku kama wamefuga. Pia madaktari kama watafungua duka la dawa au wanajishughulisha na kilimo.
Kumbe hao wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi unaowasikia wakilazimisha watu kununua hivyo vitambulisho sio matakwa yao au wanaona kunaumuhimu wanaogopa kutumbuliwa!
 
Duuu huko ni kwa ajili ya kuwasaidia wenye uhitaji[emoji122][emoji122]
Wao wamepatiwa vitambulisho na boss wao wanaambiwa lazima viishe otherwise wanatemeshwa ukuu wa mkoa,ndo maana na wao wanakamata yeyote ili mradi vitambulisho viishe.
 
Sasa imekuwa ni kero badala ya kuwa ni neema kama tunavyo lazimishwa kuamini
Aibu sana!! Hivi vitambulisho hivi sasa vimetolewa kwenye idara zote huku mikoani na wilaya. Mfano maafisa elimu wanawashinikiza walimu nao wachukue ili wapate urahisi wa kuuza mazao yao kama wamelima au kuku kama wamefuga. Pia madaktari kama watafungua duka la dawa au wanajishughulisha na kilimo.
Kumbe hao wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenzi unaowasikia wakilazimisha watu kununua hivyo vitambulisho sio matakwa yao au wanaona kunaumuhimu wanaogopa kutumbuliwa!
 
hivi wengi mnao piga kelele hapa ni wamachinga au waunza maneno hivi mnajua wamachinga walikuwa wanalipishwa ushuru kiasi gani?
now akilipa elfu 20 haguswi kwenye ushuru tena.

vitambulisho vimewasaidia sana wamachinga hapa kariakoo unaona kabisa mwenye kitambulisha ndo anatamba haguswi.

kumuondolea mmachinga msululu wa ushuru na kumtoza mala moja kwa mwaka ni msaada sana kwao

kwenye ukweli usemwe ukweli na sio siasa maji taka

Mkuu hapo huna pointi, ni pumba. Kama kulipa kila siku kunaleta pesa nyingi zaidi - kwanini serikali isiendelee kukusanya pesa nyingi zaidi??

Acha upotoshaji - kama huu ni msaada inakuwaje mtu analazimika kupokea msaada kwa nguvu zote hizi za polisi na wakuu wa mikoa/wilaya???

Ushuru ulikuwa unaenda kwa halmashauri ili ziweze kujiendesha. Pesa za kitambulisho cha machinga zinaenda halmashauri bado?? Zinarudi kuhudumia halmashauri husika au zinakwenda serikali kuu??

Kama kitambulisho kinasaidia aliyenacho - ni sahihi kwa halmashauri kuchukua ushuru kwa asiye nacho na nchi inasonga. Nguvu zinazotumika kufanya kila mtu awe na kitambulisho zina walakini na watetezi wake mmekosa ushawishi!!

Asiyetaka kusumbuliwa na halmashauri alipe hizo elfu 20. Asiyetaka kulipa akutane na usumbufu unaousema wa kulipa kila akikutana na maafisa wa halmashauri. Full stop - tusilazimishane!!
 
Mchango mzuri sana na mwenye macho aone na mwenye masikio asikie
 
Hii dhana ya vitambulisho imeondoa kabisa dhana ya umachinga, mmachinga alikuwa ni mfanyabiashara asie na sehemu maalumu yaani anatembea barabarani na bidhaa zake anauza, hivi vitambulisho vimekuja vimeleta masoko na maduka yasiyo rasmi mtu anauza mchicha barabarani amekaa ameweka na mwavuli eti ni mmachinga, halafu yle alieko sokoni amenyimwa vitambulisho kwa kuwa hayupo barabarani na anatozwa ushuru hii imesababisha biashara masokoni zimedorora kabisa na njia mijini hakuna zimekuwa finyu zimezibwa na bidhaa. Mfanyabiashara wa duka nae ameacha kuuzia dukani ametoka kwenye baraza nae ili awe mmachinga aache kulipwa kodi matokea kodi kila siku makusanyo yanashuka, barabara zimejaa nguo maduka yamefungwa frem zimerudihswa kwa wenye nyumba... unakusanya 20,000/= na waliokuwa wanalipa 100,000/= wamefunga maduka wanalipa 20,000/ ndio right truck...mwambieni mkuu nyie ma RC ameondoa dhana ya UMACHINGA ameanzisha masoko holela..
 
Hama hakuna mwenye siasa bali tunahoji huo ulazimishaji wa hao wanye mamlaka kuwatishia wamachinga kuwa ni lazima wavinunue hivyo vitambulisho

leo zoezi liishe mapema na wasipate usumbufu mwanzo walikuwa hawajelewa siku hizi wanavitafuta wenyewe maana usipokuwa nacho kazi inakuwa ngumu
 
Kodi ndiyo inashuka kila kukicha matokeo yake tra wanaimbishwa nyimbo zenye mafumbo magumu
Hii dhana ya vitambulisho imeondoa kabisa dhana ya umachinga, mmachinga alikuwa ni mfanyabiashara asie na sehemu maalumu yaani anatembea barabarani na bidhaa zake anauza, hivi vitambulisho vimekuja vimeleta masoko na maduka yasiyo rasmi mtu anauza mchicha barabarani amekaa ameweka na mwavuli eti ni mmachinga, halafu yle alieko sokoni amenyimwa vitambulisho kwa kuwa hayupo barabarani na anatozwa ushuru hii imesababisha biashara masokoni zimedorora kabisa na njia mijini hakuna zimekuwa finyu zimezibwa na bidhaa. Mfanyabiashara wa duka nae ameacha kuuzia dukani ametoka kwenye baraza nae ili awe mmachinga aache kulipwa kodi matokea kodi kila siku makusanyo yanashuka, barabara zimejaa nguo maduka yamefungwa frem zimerudihswa kwa wenye nyumba... unakusanya 20,000/= na waliokuwa wanalipa 100,000/= wamefunga maduka wanalipa 20,000/ ndio right truck...mwambieni mkuu nyie ma RC ameondoa dhana ya UMACHINGA ameanzisha masoko holela..
 
Kodi ndiyo inashuka kila kukicha matokeo yake tra wanaimbishwa nyimbo zenye mafumbo magumu
Na wanajua tatizo nini ila kwa kuwa alieamua kutoa hivyo vitambulisho hashauriki wamebaki kubanana na hao wachache waliosalia kuwalimisha mikodi isiyo lipika.
 
Mkuu hapo huna pointi, ni pumba. Kama kulipa kila siku kunaleta pesa nyingi zaidi - kwanini serikali isiendelee kukusanya pesa nyingi zaidi??

Acha upotoshaji - kama huu ni msaada inakuwaje mtu analazimika kupokea msaada kwa nguvu zote hizi za polisi na wakuu wa mikoa/wilaya???

Ushuru ulikuwa unaenda kwa halmashauri ili ziweze kujiendesha. Pesa za kitambulisho cha machinga zinaenda halmashauri bado?? Zinarudi kuhudumia halmashauri husika au zinakwenda serikali kuu??

Kama kitambulisho kinasaidia aliyenacho - ni sahihi kwa halmashauri kuchukua ushuru kwa asiye nacho na nchi inasonga. Nguvu zinazotumika kufanya kila mtu awe na kitambulisho zina walakini na watetezi wake mmekosa ushawishi!!

Asiyetaka kusumbuliwa na halmashauri alipe hizo elfu 20. Asiyetaka kulipa akutane na usumbufu unaousema wa kulipa kila akikutana na maafisa wa halmashauri. Full stop - tusilazimishane!!

mala nyingi mtu akiwa na akiri ndogo huwa haoni point kwenye hoja huwa amejiandaa kubisha.
mimi ni mfanya biaahara na wamachinga ni wateja wetu wakubwa tunajua adha wanazopata na nipo hapo soko la taifa kariakoo.
sasa hivi wamachinga wasio na vitambulisho wanahaha kivitafuta coz walionavyo wanafanya biashara vizuri bila usumbufu wowote.

una hama kwenye hoja ya wamachina unaingiza mambo za halmaahauri kukusanya mapato hivi unajua kama almashauri hata akikisanya hela yote inaenda hazina? na wao ndo huja kupewa kulingana na matumizi.

anzisha uzi wa ukusanyaji wa mapato kwanini hela inaenda mfuko mkuu wa hazina then huko tutakujuza vizuri.

tumia akiri kuchambua mambo na sio kukimbilia kubishana tuu.

kumbuka Akiri ndogo hukumbilia kubishana au kulalama bali Akiri kubwa utafajari na kujenga hoja za maana

sasa jiulize wewe una akiri ipi

[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
hivi wengi mnao piga kelele hapa ni wamachinga au waunza maneno hivi mnajua wamachinga walikuwa wanalipishwa ushuru kiasi gani?
now akilipa elfu 20 haguswi kwenye ushuru tena.

vitambulisho vimewasaidia sana wamachinga hapa kariakoo unaona kabisa mwenye kitambulisha ndo anatamba haguswi.

kumuondolea mmachinga msululu wa ushuru na kumtoza mala moja kwa mwaka ni msaada sana kwao

kwenye ukweli usemwe ukweli na sio siasa maji taka
ushuru ungeendelea kama kawaida kwa wale wasio na vitambulisho na sio kulazimisha kila mmachinga/mfanyabiashara mdogo awe nacho hiko kitambulisho.
 
Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa kulipia hivyo vitambulisho.

Je hilo ndiyo kusudi halali la hivyo vitambulisho?
Unamlazimishaje mtu kupata msaada kama hataki?

Hili zoezi limesha anza. Leo walikuwa stand kuu ya mabasi na karandinga lao wakiendesha hilo zoezi.
 
Adha gani walikuwa wanazipata na kutoka kwa nani? Zilikuwa kisheria au kwa utaratibu gani? Sasa hivi zimeondolewa?
mala nyingi mtu akiwa na akiri ndogo huwa haoni point kwenye hoja huwa amejiandaa kubisha.
mimi ni mfanya biaahara na wamachinga ni wateja wetu wakubwa tunajua adha wanazopata na nipo hapo soko la taifa kariakoo.
sasa hivi wamachinga wasio na vitambulisho wanahaha kivitafuta coz walionavyo wanafanya biashara vizuri bila usumbufu wowote.

una hama kwenye hoja ya wamachina unaingiza mambo za halmaahauri kukusanya mapato hivi unajua kama almashauri hata akikisanya hela yote inaenda hazina? na wao ndo huja kupewa kulingana na matumizi.

anzisha uzi wa ukusanyaji wa mapato kwanini hela inaenda mfuko mkuu wa hazina then huko tutakujuza vizuri.

tumia akiri kuchambua mambo na sio kukimbilia kubishana tuu.

kumbuka Akiri ndogo hukumbilia kubishana au kulalama bali Akiri kubwa utafajari na kujenga hoja za maana

sasa jiulize wewe una akiri ipi

[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Sasa mtu unajiuliza mnalazimishaje msaada?
Kwanini mnilazimishe kukubali neema?
Hili zoezi limesha anza. Leo walikuwa stand kuu ya mabasi na karandinga lao wakiendesha hilo zoezi.
 
Huu ni mwanzo au tuseme kuwa ni ukaribisho wa kodi ya kichwa maana kule tra mapato yanashuka

Back
Top Bottom