Eti vitambulisho vya machinga ni ukombozi?

ushuru ungeendelea kama kawaida kwa wale wasio na vitambulisho na sio kulazimisha kila mmachinga/mfanyabiashara mdogo awe nacho hiko kitambulisho.

taratibu lazima zizingatiwe na hili swala lilianzia kwa wao wenyewe ndo waliopendekeza wawe wanalipo mala moja na sio kusumbuliwa na migambo wa halmaahauri pia kuwe una usawa coz kila sehemu walikuwa na tozo zao tofauti tofauti
 
Ipo siku utaelewa ni mfumo gani unaoleta hizo adha, na kuwa mfumo huo hauwezi kamwe kuzitatua bali unazihamishia tu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
sasa kama yote hayo hujui sasa napoteza mda kumueleza mtu asiyejua anacho kijadili
 
Sasa mtu unajiuliza mnalazimishaje msaada?
Kwanini mnilazimishe kukubali neema?

Huo si msaada. Ni kodi ya kichwa kwa kila mmachinga. Serikali inatafuta pesa kwa kuwalazimisha watu walipe 20,000
 
Huo ndiyo ukweli uliyo jificha kwenye hilo sakata
Huo si msaada. Ni kodi ya kichwa kwa kila mmachinga. Serikali inatafuta pesa kwa kuwalazimisha watu walipe 20,000
 
Kodi ya kichwa tayari isharudi hiyo
Ipo siku utaelewa ni mfumo gani unaoleta hizo adha, na kuwa mfumo huo hauwezi kamwe kuzitatua bali unazihamishia tu kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
 
Hakuna lolote hii ni kodi ya kichwa
taratibu lazima zizingatiwe na hili swala lilianzia kwa wao wenyewe ndo waliopendekeza wawe wanalipo mala moja na sio kusumbuliwa na migambo wa halmaahauri pia kuwe una usawa coz kila sehemu walikuwa na tozo zao tofauti tofauti
 
hawa hawana lolote wanaingia mpaka vijijini na migambo kuuza vitambulisho kwa wauza pombe nchi hii saizi imepatwa kwa kweli
 
Unajua jiwe style zake za kutuibia zimehama kutoka calculated theft na kuwa UPORAJI WA NGUVU.
Umesema vitambulisho ndio ukombozi wa machinga, inakuwaje machinga wenyewe hawataki "ukombozi" huo hadi utumie nguvu "kuwakomboa"?
Sasa maRC ndio wanaingia mitaani kuwalazimisha wanunue vitambulisho kwa nguvu
Mkuu inawezekana MaRC wamepewa target so hawana namna-si unajua nafasi zenyewe nizakuteuliwa na anayeteua ndo anajua sifa za kukuteua?you can't argue-you only have two options-uuze kumeet target au usiuze usubiri kutumbuliwa au ujitumbue mwenyewe,sasa kwa kuwa wengi wetu tunatembea na sufulia mkononi the best option ni option no.1
 
Unapozungumzia taratibu,Unajua taasisi yenye mamlka ya kutunga sheria,kuanzisha au kufuta kodi,ushuru au tozo yoyote?
taratibu lazima zizingatiwe na hili swala lilianzia kwa wao wenyewe ndo waliopendekeza wawe wanalipo mala moja na sio kusumbuliwa na migambo wa halmaahauri pia kuwe una usawa coz kila sehemu walikuwa na tozo zao tofauti tofauti
 
Kazi ipo
Leo hii ameonekana mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa kwenye soko la samunge kufuatilia wafanya biashara wadogo wadogo akifuatana na polisi huku akitoa onyo kuwa atawakamata wote ambao watashindwa kulipia hivyo vitambulisho.

Je hilo ndiyo kusudi halali la hivyo vitambulisho?
Unamlazimishaje mtu kupata msaada kama hataki?
 
Unapozungumzia taratibu,Unajua taasisi yenye mamlka ya kutunga sheria,kuanzisha au kufuta kodi,ushuru au tozo yoyote?

sheria au taratibu hazitungwi na taasisi so mpaka hapo naona hujui unacho kiongea
sheria utangwa na kusimamiwa na mamlaka na sio taasisi
 
Tumekwama kama taifa
Mkuu inawezekana MaRC wamepewa target so hawana namna-si unajua nafasi zenyewe nizakuteuliwa na anayeteua ndo anajua sifa za kukuteua?you can't argue-you only have two options-uuze kumeet target au usiuze usubiri kutumbuliwa au ujitumbue mwenyewe,sasa kwa kuwa wengi wetu tunatembea na sufulia mkononi the best option ni option no.1
 
Turudi kwenye mada husika kuwa hivi vitambulisho vya machinga je nikweli ni msaada kwao au ni njia ya kutafuta mapato?
sheria au taratibu hazitungwi na taasisi so mpaka hapo naona hujui unacho kiongea
sheria utangwa na kusimamiwa na mamlaka na sio taasisi
 
vitambulisho ni vizuri,tatizo unapomtaka mtu mwenye mtaji wa elfu kumi nae awe na kitambulisho hicho,mfano muuza mchicha kwenye beseni,hawezi kununua hicho kitambulisho
 
Back
Top Bottom