Eti vitambulisho vya machinga ni ukombozi?

Sawa,toa hilo neno taasisi uweke mamlaka kama unavyotaka kisha jibu hoja yangu.
sheria au taratibu hazitungwi na taasisi so mpaka hapo naona hujui unacho kiongea
sheria utangwa na kusimamiwa na mamlaka na sio taasisi
 
Ni Vizuri kwenye nini?
vitambulisho ni vizuri,tatizo unapomtaka mtu mwenye mtaji wa elfu kumi nae awe na kitambulisho hicho,mfano muuza mchicha kwenye beseni,hawezi kununua hicho kitambulisho
 
Juzi niliona hata wapika vitumbua nao wanalazimishwa kununua hivyo vitambulisho
vitambulisho ni vizuri,tatizo unapomtaka mtu mwenye mtaji wa elfu kumi nae awe na kitambulisho hicho,mfano muuza mchicha kwenye beseni,hawezi kununua hicho kitambulisho
 
mbinu wanayotumia kuuza vitambulisho ndo sio rafiki,wanaviuza kwa mtutu,wakati ilitakiwa machinga ndo wavigombanie,asie nacho alipe ushuru kila siku mpaka ataamua mwenyewe kununua kitambulisho,
 
Ndiyo hapo sasa watu tunapata maswali mengi nikwanini wanawalazimisha watu kusaidiwa?
mbinu wanayotumia kuuza vitambulisho ndo sio rafiki,wanaviuza kwa mtutu,wakati ilitakiwa machinga ndo wavigombanie,asie nacho alipe ushuru kila siku mpaka ataamua mwenyewe kununua kitambulisho,
 
Wewe kama una uelewa wa unacho kisimamia ni vema ukamuelekeza huyo unaye ona bado hakijui badala ya kumdhihaki kwani elimu haina mwisho na jf ni zaidi ya darasa
nishakwambia kuongea na mtu ambeye mentality yupo kubishana na kupinga ni kupoteza muda

neenda google utazikuta zote
 
Wewe kama una uelewa wa unacho kisimamia ni vema ukamuelekeza huyo unaye ona bado hakijui badala ya kumdhihaki kwani elimu haina mwisho na jf ni zaidi ya darasa

shida ni mbishi na sio kuwa anataka kujua
rudi nyuma kwenye mazungo utaelewa
 
Back
Top Bottom