Eti wakubwa, hapa tz, hv vipimo vyetu vya hospital vinaweza kuonyesha kuwa umeambukizwa baada ya siku ngapi baada ya tendo?
kama atakuwa negative!!!akiwa positive asitumie?Pole sana. Hebu soma hii " An infection with HIV can take six weeks for detection. At 90 days, 95% will be positive. At 6 months, 99% will be positive. " Next time utumie kinga (kama utakutwa negative)
Pole sana. Hebu soma hii " An infection with HIV can take six weeks for detection. At 90 days, 95% will be positive. At 6 months, 99% will be positive. " Next time utumie kinga (kama utakutwa negative)
Akikutwa postive hana haja ya kutumia kinga?
kama atakuwa negative!!!akiwa positive asitumie?
mmmh!siamini,kunakuongezewa specie ambayo hukuwa nayo na hivyo ku-complicate afya!!!Yeye mwathirika hatakuwa na haja ya kutumia kinga, wajibu wa kutumia kinga utakuwa wa huyo atakayekuwa anataka kutembea naye. Actually the infected has nothing to lose
we Jabulani hivyo avatar unayotumia angalia sana!!!!Yeye mwathirika hatakuwa na haja ya kutumia kinga, wajibu wa kutumia kinga utakuwa wa huyo atakayekuwa anataka kutembea naye. Actually the infected has nothing to lose
Yeye mwathirika hatakuwa na haja ya kutumia kinga, wajibu wa kutumia kinga utakuwa wa huyo atakayekuwa anataka kutembea naye. Actually the infected has nothing to lose
HIYO DAWA KAMA IPO tz, ni nzuri sana, unajilipua halafu unaitumia.kuna dawa unapewa baadaya tendo,ila isizidi masaa 72 kama sikosei{sina uhakika na masaa}inasaidi na kama inazuia maambukizi.sijui kama tz wanatoa hizo dawa.kwa nchi za wenzetu hupewa kwa watu walio repiwa
na wanaume wao wanaweza pia kutumia hiyo dawa?kuna dawa unapewa baadaya tendo,ila isizidi masaa 72 kama sikosei{sina uhakika na masaa}inasaidi na kama inazuia maambukizi.sijui kama tz wanatoa hizo dawa.kwa nchi za wenzetu hupewa kwa watu walio repiwa
Akikutwa postive hana haja ya kutumia kinga?