Eti virus vya ukimwi huonekana baada ya muda gani?

g4cool

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
424
198
Eti wakubwa, hapa tz, hv vipimo vyetu vya hospital vinaweza kuonyesha kuwa umeambukizwa baada ya siku ngapi baada ya tendo?
 
Yaani unaonekana una wasiwasi sana yaani hadi kupitia maneno yako unaonyesha jinsi haukutumia kinga.
Nwy baada ya siku 70 hivi kapime.

Pole sana. Hebu soma hii " An infection with HIV can take six weeks for detection. At 90 days, 95% will be positive. At 6 months, 99% will be positive. " Next time utumie kinga (kama utakutwa negative)
kama atakuwa negative!!!akiwa positive asitumie?
 
Pole sana. Hebu soma hii " An infection with HIV can take six weeks for detection. At 90 days, 95% will be positive. At 6 months, 99% will be positive. " Next time utumie kinga (kama utakutwa negative)

Akikutwa postive hana haja ya kutumia kinga?
 
Yeye mwathirika hatakuwa na haja ya kutumia kinga, wajibu wa kutumia kinga utakuwa wa huyo atakayekuwa anataka kutembea naye. Actually the infected has nothing to lose
mmmh!siamini,kunakuongezewa specie ambayo hukuwa nayo na hivyo ku-complicate afya!!!
 
Yeye mwathirika hatakuwa na haja ya kutumia kinga, wajibu wa kutumia kinga utakuwa wa huyo atakayekuwa anataka kutembea naye. Actually the infected has nothing to lose
we Jabulani hivyo avatar unayotumia angalia sana!!!!
 
Last edited by a moderator:
teh teh sina wasiwas wakubwa, nilitaka kujua 2, c unajua tena vijana!!
 
kuna dawa unapewa baadaya tendo,ila isizidi masaa 72 kama sikosei{sina uhakika na masaa}inasaidi na kama inazuia maambukizi.sijui kama tz wanatoa hizo dawa.kwa nchi za wenzetu hupewa kwa watu walio repiwa
 
Yeye mwathirika hatakuwa na haja ya kutumia kinga, wajibu wa kutumia kinga utakuwa wa huyo atakayekuwa anataka kutembea naye. Actually the infected has nothing to lose

You are totally out of track. Wapo HIV wa categories nyingi. Hata kama ni +ve ni vizuri kutumia kinga ili kuepusha uwezekano wa kupata maambukizi ya aina mpya ya HIV na hivyo kuathirika zaidi. So, be careful!
 
Yani ukifnya mambo na m2 ambae baadae unaskia habr mbya kuhusu yeye yan mbna utakoma
 
kuna dawa unapewa baadaya tendo,ila isizidi masaa 72 kama sikosei{sina uhakika na masaa}inasaidi na kama inazuia maambukizi.sijui kama tz wanatoa hizo dawa.kwa nchi za wenzetu hupewa kwa watu walio repiwa
HIYO DAWA KAMA IPO tz, ni nzuri sana, unajilipua halafu unaitumia.
 
kuna dawa unapewa baadaya tendo,ila isizidi masaa 72 kama sikosei{sina uhakika na masaa}inasaidi na kama inazuia maambukizi.sijui kama tz wanatoa hizo dawa.kwa nchi za wenzetu hupewa kwa watu walio repiwa
na wanaume wao wanaweza pia kutumia hiyo dawa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom