Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Kama swali linavyojieleza hapo juu
Ulijuaje kwa hatua hii tuliyofikia na mpenzi wangu au aliyekuwa mpenzi wako hapa hakuna tena mapenzi na Mimi penzi lake kwako limeshakwisha?
Mimi upande wangu nilivyoona mpenzi wangu anaanza kuniponda juu ya tabia zangu nikagundua hapa sina changu.