Eti ulijuaje penzi la aliyekuwa mpenzi wako limeshakwisha kwako?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kama swali linavyojieleza hapo juu

Ulijuaje kwa hatua hii tuliyofikia na mpenzi wangu au aliyekuwa mpenzi wako hapa hakuna tena mapenzi na Mimi penzi lake kwako limeshakwisha?

Mimi upande wangu nilivyoona mpenzi wangu anaanza kuniponda juu ya tabia zangu nikagundua hapa sina changu.
 
Mim nadhani ni kama tu ulivyojuaga kuwa hatua ile mliyofika anakupenda.

Ila ngoja wenye experience na mambo ya kuachwa achwa waje wakupe ufafanuzi zaid😂😂😂
 
Bby njoo leo,
Ah leo siwezi kuja ndigi yupo masikini
We sinimekuona uko hapo bar unakinywa bia
Ah kumbe umeniona,... Nilikuwa tu natania..
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom