Eti "Siye tunaingia Mpaka Ndani Kukagua Mahabusu/Magereza" - Mwenyezi Mungu anawaona Mawakili wa Serikali

Wana viburi balaa lakini wakikamatwa wanakimbilia kwa mawakili wa kujitegemea
Mfano yule state attorney wa mkoa wa Manyara bw. Mutalemwa kishenyi, ambae alikamatwa na rushwa, alitetewa na wakili binafsi,


Huyo Chavula mtu wa wapi, ndio alisimamia kesi ya wale majambazi waliomuua Bilionea Msuya
 
Ulimbukeni na kujiona wako juu ya kila kitu kumbe njaa tuu zinawasumbua maana hata wao deep down wanajua wanachokifanya ni totally Immoral & Inhuman.
binafsi sioni kwanini nyumbu mnahukumu hii kesi mkiwa nje, kwanini msiiachie tu mahakama, na pale si kuna mawakili wenu na mambo yote yanaenda wazi? pia kesi ikisha asiyeridhika atakata rufaa. sasa kwanini mnatapatapa? tulizeni kitenesi subirini hukumu. ushahidi utachambuliwa wote na mnatakiwa mkubaliena na kitakachotamkwa na mahakama.
 
Hao mawakili wa serikali wengi Wana laana za watuhumiwa ,unakuta Mtu anasota mahabusu hata miaka mitano upelelezi haujakamilika, hakimu anahamua kumuachia kwa 225, wao wanapanga polisi wanamkamata,anarudishwa Tena mahabusu,

**** jirani yangu yupo mahabusu keko mwaka wa Saba huu upelelezi Bado,aliachiwa,wakamdaka tena

Mkewe alihamua kufungua kibanda Cha chakula pale Karibu na kiwanda Cha Cottex, ajikimu na watoto, aisee nimepita juzi wamevunjiwa na manispaa 😎

Sijui Sasa Wana Hali gani
 
Mfano yule state attorney wa mkoa wa Manyra bw. Mutalemwa kishenyu, ambae alikamatwa na rushwa, alitetewa na wakili binafsi,


HuyoChavula mtu wa wapi, ndio alisimamia kesi ya wale majambazi waliomuua Bilionea Msuya
Hawa watu walijazwa viburi na Jiwe. Yaani nasema walaaniwe pamoja na vizazi vyao.
 
Hivi itafika hatua kuulizana:

Nini kinathibitisha palikuwa na mpango au mchoro wa sijui kudhuru mtu yeyote, kulipua vituo vya mafuta na kuzuia barabara kwa magogo?

Inatosha tu kukamata watu wanaoeleza kwa hiari au mashinikizo?

Mbona ningekuwa mimi ni Mbowe ningesema tu hiyo mipango siyo yangu!

Au sababu mi ni mbumbu mzungu wa reli katika sheria kuhusu ugaidi?

Ngoja tuone.
 
Kumbe wewe muoga hivi- sikutegemea
 
Urio kutafutwa na Mbowe kwa hicho kinaitwa VIP protection- NI SHINIKIZO
Adamoo et al kufukuzwa jeshini ni script iliyotungwa na Kingai
KWELI
 
Halafu anayetakiwa kutoa ushahidi conclusive ni huyo Urio basi! Sijui yuko wapi mtu huyo!
 
Mbali sana! Ndiyo hayo ya kutoka gerezani then unakuta kina Chapwa washazalisha baby mwingine.
 
Dua la kuku.........
 
Una uhakika na ullichoandika
amini usiamini, huwezi kufanya lolote, na ungekuwa na uwezo wa kufanya lolote ungeshafanya zamani. pia, hata ukifanya lolote lazima utajulikana tu na utanyyea debe hadi utajuta ujinga gani ulijiingiza. na kwa akili yako kama hii, no wonder mnaitwa magaidi nyie nyumbu...na hamna lolote.
 
Du!
 
Wewe PU.NGUANI kwani sasa huwa hawafiki Tazara na Mbweni? Au na wenyewe wako nyuma ya huo UHARAMIA unaofanyika huko? Acha kutulisha matango pori aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…