Elections 2010 Eti Sitta ataka uspika, asema anafaa, Kweli ataliweza hilli Bungo La 10

Inabidi achukue fomu maana alishajenga ofisi ndogo ya Spika kule Urambo. Inawezekana nafasi yake ikichukuliwa na mtu mwingine itakuwa hasara kuwa na ofisi kule Urambo. Vioja vya Tanzania tunaviona?
 
Kama anatumiwa basi tusubiri Lowasa achukue ndo mtajua mbivu zipi mbichi zipi.
 
Mi ndo hapo naichoka Tanzania,fomu zimetangazwa waka ti tume haijamaliza kujumlisha kura ili kupata jumla ya wabunge 289. Je kuna wabunge wasiopata nafasi iyo kama wale ambao hawajatangaza?au wale watakaochaguliwa Nov.14 kama wale wa Nkenge? Tanzania vp? Acheni kupangia vyeo,mnawatangaza watu flan mapema ili kati ya walengo ndo wapate nafasi ya kugombea uspika? Hatari hii!
 
br yaani majimbo yote ambayo hayajatangazwa ujue yanaenda CCM wameshaiba .wanatudharau sana wanatufanya wajinga wanaona kamavile weare not existing
 
Magazeti mawili ya Majira na Tanzania Daima yametuhabarisha leo kuwa kuna mkakati mzito ndani ya CCM kumtupia virago vyake Mheshimiwa Samweli Sitta kwa mbinu nzito.........

Uchunguzi wangu umebaini ya kuwa mbinu na sababu za kumg'oa Sitta ni hizi hapa;-

1) Vibosile ndani ya CCM wamemshikia bango Sitta kuwa ndiyo chanzo cha CCM kuporomoka umaarufu kwa kuruhusu mijadala mizito ya ufisadi kama ile ya Richmond kutamba bungeni na hivyo kuwapa upinzani haswa Chadema nafasi ya kukidhoofisha chama chao................Kufanikiwa kwa mkakati wa kumng'oa Sitta kutahakikisha mijadala mizito ya utawala bora kuzimwa kila itakapokuwa inajitokeza bungeni..................................

2) CCM imefanya jitihada za makusudi kuwahamasisha makada wake wengi wenye majina ili kuzigawa kura na kujenga mazingira ya kumdondosha Mheshimiwa Sitta ndani ya vikao vya Chama hicho vitakavyoanza hivi karibuni.

3) Pamoja na Sitta kuwa ni mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho zipo hoja zinajengwa kuhakikisha asihudhurie vikao hivyo kwa madai ya kuwa yeye siyo spika tena kwa sababu bunge lililomchagua halipo tena kwani lilikwisha kuvunjwa na hivyo anakosa sifa za kuwa mjumbe wa vikao vya Halmashauri Kuu ya Taifa na Kamati kuu ya CCM............Lengo hapo ni kupunguza ushawishi ambao Mheshimiwa Sitta aweza kuutumia kutokana na kuwa na nyadhifa hizo ndani ya CCM.

4)Hoja nyingine ni kuwa CCM inajiundia rundo la visingizio vya kukataliwa kwenye chaguzi hii kuwa walikuwa hawateui vijana wengi kwenye nafasi za juu serikalini na hivyo ili kuonyesha wamebadilika nafasi ya uspika apewe kijana.....................lakini hiyo ni janja ya nyani ya kumn'goa Sitta ambaye pamoja na mapungufu mengine aliyonayo ya kuuzima mjadala wa Richmond kutokana na mashinikizo ya Ikulu lakini ameonyesha kujitahidi sana kupanua demokrasia bungeni ambayo wakati wa spika aliyemtangulia Bw. Pius Msekwa uhuru ndani ya bunge ulikuwa ni finyu mno............
 
ruta, itendee haki jamii ya wa tz ambao ni nutro, unataka kuhalalisha kuwa sita asipopitishwa ccm kugombea uspika hakuna mtanzania mwingine anayeweza kuendesha bunge kwa maslahi ya watanzania?. Unataka sita aendelee kuwa spika mpaka lini?. Haya ni mawazo mgando: its time for change. Tunataka sura mpya.
 
Sura mpya ya Chenge? Sina matatizo na wagombea wengine wote waliochukua fomu, mimi nina tatizo na Chenge na km sura mpya ni Chenge basi CCM itakuwa haitutendei haki.

Hivi kwani CCM mmeishiwa watu? Chenge ni mjumbe wa CC, Kamati ya Maadili ya CCM [sijui kwa maadili gani aliyo nayo mpaka anaendesha gari haina leseni na tuhuma kibao za ufisadi, mikataba mibovu yote ametuingiza mkenge yeye]. Mjumbe wa NEC na mazagazaga mengine kibao. Hapo sikubaliani na wewe, ila kwa kuwa ni chama chenu endeleeni na fanyeni mpendavyo, siku za CCM zinahesabika.
 
Gama nitajie jina la hawa wagombea waliojitokeza ambaye anampiku Mheshimiwa Samweli Sitta................jibu ni kuwa hayupo..............
 
Mkuu Keil,
Chenge ni mbunge wa kuchaguliwa hivyo anatumia haki yake kikatiba kugombea uspika. Kwa hilo tusiwalaumu CCM.

Tuje tuwalaumu CCM kama watamchagua Chenge kuwa spika wao. Mimi naamini hawatafanya hivyo maana wamesikia wananchi wanasema nini.

Lakini pia sitashangaa wakimtema Sitta maana na yeye anawakilisha kundi moja katika mgawanyiko ndani ya CCM. Kundi la Sitta pamoja na Lowassa yote yalitumika kuwachafua watu mbalimbali ambao hawakuwa upande wao. CCM kama wanataka usalama ni lazima haya makundi yote mawili yasipewe uspika au uongozi wa juu kwenye chama. Lengo la hayo makundi ni urais 2015, hivyo wakipewa nafasi, watatumia nafasi hizo kuchafua watu wengine kama njia ya kusafisha barabara kuelekea uchaguzi 2015.

Chama kina watu wengi tu ambao wanaweza kuendesha chama na shughuli za serikali bila kutanguliza maslahi yao au ya makundi yao mbele.

Sitashangaa kama Anna makinda atachaguliwa kuwa spika.

Sura mpya ya Chenge? Sina matatizo na wagombea wengine wote waliochukua fomu, mimi nina tatizo na Chenge na km sura mpya ni Chenge basi CCM itakuwa haitutendei haki.

Hivi kwani CCM mmeishiwa watu? Chenge ni mjumbe wa CC, Kamati ya Maadili ya CCM [sijui kwa maadili gani aliyo nayo mpaka anaendesha gari haina leseni na tuhuma kibao za ufisadi, mikataba mibovu yote ametuingiza mkenge yeye]. Mjumbe wa NEC na mazagazaga mengine kibao. Hapo sikubaliani na wewe, ila kwa kuwa ni chama chenu endeleeni na fanyeni mpendavyo, siku za CCM zinahesabika.
 
Mkuu Mtanzania,

Ninakubaliana na wewe kuhusu minyukano ya makundi ya Sitta & Co. Vs Lowassa & Co. Uhasama huo naona bado unaendelea na kundi lolote litakalo-win nafasi ya Spika litakuwa linajiweka kwenye nafasi nzuri kwa ajili ya 2015.

Nina uhakika ndani ya CC hakuna mwenye uwezo wa kufungua mdomo na kutoa kasoro za Chenge [labda wewe mzee kwa kuwa mwana CCM unaweza kuniambia kama kuna mtu mwenye balls za kusema Chenge hafai na hivyo wakate jina lake]. Mbaya zaidi wajumbe wengi wa CC ni pro-Lowassa & Co. Sitta wanaweza kumkata jina kirahisi sana kutokana na kasheshe zilizomkuta kwenye Bunge la 9.

Kama CC ina nia njema na watanzani na Taifa kwa ujumla, basi ni bora wakate majina ya Chenge, Sitta, na Kilango maana wote hao wana camps zao. Mama Makinda pia sina imani nae sana.

All in all ni juu ya Kamati Kuu ya CCM na wabunge wake kuamua kusuka au kunyoa, maana salaam zimeishawafikia ni juu yao kukaidi na kuendelea mbele kukumbatia mafisadi na ufisadi au kubadilisha mwelelekeo.
 
Wakuu habari za uhakika zinasema mzee Samweli Sitta hatapitishwa vikao Vya juu CCM kuwa mgombea wao wa u spika. chanzo cha habari cha kuaminika kabisa ni kwamba Lowassa na Rostam wamefanya mpango ili sitta apingwe hata na mama Makinda ambae amewageuka wenzake akina SITTA.

Mama huyu amegombea kwa shinikizo na kwa kufuata maelekezo ya akina Rostam ili Spika aanguke halafu bunge lipitie tena ile richmond na kumsafisha Lowassa. Lowassa pia atagombe urais mwaka 2015 baada ya kusafishwa na bunge la spika ama chenge ama Makinda.
 
Mkuu Mtanzania,

Ninakubaliana na wewe kuhusu minyukano ya makundi ya Sitta & Co. Vs Lowassa & Co. Uhasama huo naona bado unaendelea na kundi lolote litakalo-win nafasi ya Spika litakuwa linajiweka kwenye nafasi nzuri kwa ajili ya 2015.

Nina uhakika ndani ya CC hakuna mwenye uwezo wa kufungua mdomo na kutoa kasoro za Chenge [labda wewe mzee kwa kuwa mwana CCM unaweza kuniambia kama kuna mtu mwenye balls za kusema Chenge hafai na hivyo wakate jina lake]. Mbaya zaidi wajumbe wengi wa CC ni pro-Lowassa & Co. Sitta wanaweza kumkata jina kirahisi sana kutokana na kasheshe zilizomkuta kwenye Bunge la 9.

Kama CC ina nia njema na watanzani na Taifa kwa ujumla, basi ni bora wakate majina ya Chenge, Sitta, na Kilango maana wote hao wana camps zao. Mama Makinda pia sina imani nae sana.

All in all ni juu ya Kamati Kuu ya CCM na wabunge wake kuamua kusuka au kunyoa, maana salaam zimeishawafikia ni juu yao kukaidi na kuendelea mbele kukumbatia mafisadi na ufisadi au kubadilisha mwelelekeo.

In my opinion, whoever comes in, let him/her come in for the post. I am sure, if he/she goes there for his/her personal goals, the public voice shall shake him/her; be whatever be, come whatever.....

Naamini pia kuwa, as time goes, USHAWISHI wa pesa unakosa dili kwenye uongozi wa Taifa.
 
Sura mpya ya Chenge? Sina matatizo na wagombea wengine wote waliochukua fomu, mimi nina tatizo na Chenge na km sura mpya ni Chenge basi CCM itakuwa haitutendei haki.

Hivi kwani CCM mmeishiwa watu? Chenge ni mjumbe wa CC, Kamati ya Maadili ya CCM [sijui kwa maadili gani aliyo nayo mpaka anaendesha gari haina leseni na tuhuma kibao za ufisadi, mikataba mibovu yote ametuingiza mkenge yeye]. Mjumbe wa NEC na mazagazaga mengine kibao. Hapo sikubaliani na wewe, ila kwa kuwa ni chama chenu endeleeni na fanyeni mpendavyo, siku za CCM zinahesabika.
SAWA CC INAWEZA KUWA NA WATU WENGI

LAKINI WASITOKANE NA MOVEMENT YA LOWASA NA RA ,MAANA MOTIVE ZAO SIO NZURI KWA TAAIFA .Naamini hilo utaliunga Mkono unless na wewe ni mnufaika wa ufisadi unaondele hivi sasa
 
Bunge litamsafishaje Lowassa wakati wapiganaji karibuni wote wamerudi mjengoni? Mwakyembe. Ole Sendeka ,Lembeli, na hopefully Manyanya wote watakuwa mjengoni , na kama watairudisha hoja hiyo upya itakuwa kazi kweli kweli!!!
 
Mkuu Mtanzania,

Ninakubaliana na wewe kuhusu minyukano ya makundi ya Sitta & Co. Vs Lowassa & Co. Uhasama huo naona bado unaendelea na kundi lolote litakalo-win nafasi ya Spika litakuwa linajiweka kwenye nafasi nzuri kwa ajili ya 2015.

Nina uhakika ndani ya CC hakuna mwenye uwezo wa kufungua mdomo na kutoa kasoro za Chenge [labda wewe mzee kwa kuwa mwana CCM unaweza kuniambia kama kuna mtu mwenye balls za kusema Chenge hafai na hivyo wakate jina lake]. Mbaya zaidi wajumbe wengi wa CC ni pro-Lowassa & Co. Sitta wanaweza kumkata jina kirahisi sana kutokana na kasheshe zilizomkuta kwenye Bunge la 9.

Kama CC ina nia njema na watanzani na Taifa kwa ujumla, basi ni bora wakate majina ya Chenge, Sitta, na Kilango maana wote hao wana camps zao. Mama Makinda pia sina imani nae sana.

All in all ni juu ya Kamati Kuu ya CCM na wabunge wake kuamua kusuka au kunyoa, maana salaam zimeishawafikia ni juu yao kukaidi na kuendelea mbele kukumbatia mafisadi na ufisadi au kubadilisha mwelelekeo.

Mkuu Keil,

Nitashangaa kama CC watakata jina la Sitta. Yeye alikuwa spika na inatakiwa wamwachie awemo katika majina matatu yanayopendekezwa na CC kupelekwa kwenye kikao cha wabunge wa CCM. Huko ndiko atakumbana na rungu la hao wabunge wenzake. Hizo porojo zote anazotoa kupitia magazeti ya Nipashe, majira na Tanzania Daima hazitamsaidia sana. Wabunge wengi wa CCM wamepita kwa mbinde shauri ya vita ya akina Sitta Co. & Lowassa Co. Hivyo hasira zao watazimalizia hapo.

Hivyo hivyo kwenye kundi la Chenge, sijui hata anapata wapi guts za kwenda kuchukua fomu? Huyu huenda akakatwa na CC, lakini hata wakimpitisha hataweza kuchaguliwa kwenye kikao cha wabunge wa CCM. katika makosa makubwa waliyofanya CCM mwaka 2015 ilikuwa kuwapitisha Chenge na Mramba.

Kuna wabunge wa CCM wengi sana wana hasira kubwa sana na yale yaliyowapata kwenye majimbo. Yale ya wote kuitwa mafisadi hata kama hawahusiki kabisa. Hivyo tegemea CCM kuwa waangalifu sana na makundi kuelekea 2015.

Watapakana sana matope kama walivyofanya mwaka huu lakini huenda wanachama tumejifunza kwamba wote hawana lengo jema na chama pamoja na nchi na zaidi zaidi ni kujinufaisha wenyewe.

Bado naamini huenda mama Makinda akawa spika kama njia ya kuvunja makundi.
 
Mimi naomba wampe uspika Chenge na uwaziri mkuu wampe Lowasa maana ndiyo itakuwa mwisho wao (CCM)..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom