Samweli sitta anafaa uspika ataendana na spidi ya magufuli

boyayoparuparu

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
343
81
Samweli sitta kwa maoni yangu ndie anaefaa kuwa spika wa bunge lijalo la jamhuri ya muungano wa Tanzania,tulioona alivyo endesha bunge kabla ya zengwe la mzee makamba,bunge lilikuwa huru wapinzani na ccm walikaribia kupewa nafasi sawa katika michango mbalimbali,pia nina imani kuwa kwa kuwa kwake nje ya uspika,atakuwa amejifunza kurekebisha alichokosea,sijasahau kuwa aliharibu kusaidia kuitupilia mbali katiba ya wananchi lakini kama mwanasiasa najua kuwa alipenda zaidi kukifurahisha chama ccm kwa lengo la kuja kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho,ningependa pia kumshauri kuwa iwapo atafanikiwa kuupata uspika,miswada inayokuja uhakikishe kuwa inajadiliwa kwa uhuru na kuhakikisha inafikia mwisho kwa kupata uamuzi wa kibunge, richmond leo bado inapigiwa kelele kwasababu muswada wa kuhusu richmond uliondolewa bila kuwa na uamuzi wa kibunge kuwaadhibu wahusika,nasema mzee sitta,ni mtu anaejiamini na mwenye msimamo,acha tabia ya kupima upepo baki na msimamo wako kwa kuzingatia maslahi ya wananchi
 
Wewe na mnafki mwenzako Samwel Sitta kafieni mbele huko, Uspika atausikia kwenye Tv tu.
 
Umetumwa na Sitta, au hujui watanzania bado tuna hasira na Sitta kwa kufinyanga katiba ya wananchi?
 
Huyu mzee akapumzike zake tu salama, aliyotutendea bunge la katiba yanatosha kwa kweli, we don't like to remember him anymore
 
Bunge La 10 kuna Wakati Alikuwa anaachiwa Mh Zungu. Kiukweli huyu jamaa ni zaidi ya huyo sitta.
 
Nimesema kwa maoni yangu kama una maoni yatoe huna haja ya kuanza kuwaita wenzako kwamba ni wanafiki nikama umezaliwa na kulelewa kama si kwenye kilabu ya pombe za kienyeji basi ni mitaani,
 
Kuhusu bunge la katiba nimeandika pia ubaya alioufanya,tatizo nikuwa kama hauijui siasa au si mwanasiasa ni vigumu kuongelea au kuelewa mambo ya siasa
 
Nimesema kwa maoni yangu kama una maoni yatoe huna haja ya kuanza kuwaita wenzako kwamba ni wanafiki nikama umezaliwa na kulelewa kama si kwenye kilabu ya pombe za kienyeji basi ni mitaani,

UnafiQ ni tusi shekh wangu?...umeleta hoja, pokea hisia na mitazamo ya watu kwa huyo mnafiQ unayempigia debe!
 
Nimesema kwa maoni yangu kama una maoni yatoe huna haja ya kuanza kuwaita wenzako kwamba ni wanafiki nikama umezaliwa na kulelewa kama si kwenye kilabu ya pombe za kienyeji basi ni mitaani,
basi kama usingetaka michango ni maoni yako ungeandika kwenye simu yako ujadiliane na Mkeo.
 
Hivi Tanzania haina watu hadi tuwe na fikra za watu walewale kila siku. Tunahitaji fresh minds kwa kweli, sisemei umri wake coz the man is old enough to play with his great grandchildren.
Apumzike wapewe wengine wenye fikra na nguvu za kufanya kazi...
 
Hoja inapoletwa nivyema ikachangiwa kistaarabu mambo ya kusema eti mtu ametumwa mnafiki yanatoka wapi,tujadili hoja,na silazima kila kinacholetwa mtu achangie,soma huyo aliemuita mwenzake kuwa ni mnafiki amechangia nini kwenye hoja,turudi kwenye hoja,kila binaadamu ana mapungufu yake,kikubwa tuangalie kama mema yanazidi mapungufu?
 
Wote mnaandika lakini hakuna hata mmoja ambae amemtaja mtu anaemuona kwa maoni yake anafaa kuwa spika wengine wanatoa matusi tu ingekuwa ni kupiga kura kura zote zingekuwa zimeharibika,unapoona sitta hafai,taja wewe unaona nani angefaa,
 
Back
Top Bottom