The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,082
mweeeeeeeeeemweeeeeeeeeee!!!!!!!!!
Next tym tukikutana kitu cha kwanza kucheck hata kabla ya salamu ni vidole vyako
mweeeeeeeeeemweeeeeeeeeee!!!!!!!!!
Swali limeenda kwa warembo nikijibu mm kesho akiniita "we mrembo" ntafanyaje?:nono:
we kumbe hujui kunguru wa zenj tabia yao, anavizia ukizubaa tu kapitia
Nina mpango wa kucheck vya Rose vya Mama B najua vilivyo
Next tym tukikutana kitu cha kwanza kucheck hata kabla ya salamu ni vidole vyako
mmh wewe aogopa mimi chichemi kitu:tape::tape::tape::tape:alifichwa na mama big wa jf.
EEEH kwan leo vp jaman?
kikao wap?
kale kaprogram kakesho na teamo bado kapo?
tena hao kunguru wanavijua kweli kulia timing vitu vitamu we acha tu!!!!!
naenda kusema kwa RR
Kale kaprogram kama kawaida kapo hakawezi kukosekana venue ile ile, watu wale wale
mmh wewe aogopa mimi chichemi kitu:tape::tape::tape::tape:
finest akiskia weweeee mh shaur zako!!!!!
:tape::tape: :nono::nono: Amelala
apana ajalala
yeye aliamka na akaniasha na mimi
yupo macho
macho on km mlinz
ALIYELALA NI MFALME WAKO si roy wangu
kuna haja ya kuvaa viatu vya kufunika tu ili watu washindwe kukuases.