Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 410
Siku za nyuma niliwahi kusikia sikia juu juu tu lakini jana nikakuta likizungumzwa na watu wazima tu kuwa muonekano wa vidole vya msichana au mwanamke katika miguu yake hutoa picha ya jinsi maumbile yake yalivyo.Yaani kidole gumba na kinachofatia miguuni vinapoonekana kuwa virefu basi hata huko kunako mashine kuko "deep".Kuna ukweli kwenye hili?
Mh! haya bana weekend njema wote:israel::israel:
Mh! haya bana weekend njema wote:israel::israel: