Jipatie Bidhaa za Kunyoosha Vidole Vilivyopinda na Vinundu kwenye dole Gumba la Mguu (Bunions)


Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Habari za Leo wanajukwaa, Ni matumaini yangu mpo salama na mnaendelea vyema na na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja mbele yenu kuwaletea bidhaa za kutibu matatizo ya vidole vilivyopinda na Vinundu kwenye Vidole Gumba (Bunions) la Mguu.

Kwenye jamii yetu hili tatizo linawakuta wengi japo linachukuliwa kawaida lakini madhara yake huwa ni makubwa siku za usoni kwani huweza kukusababisha shida zifuatazo:-

  • kushindwa kuvaa viatu vya kutumbukiza kabisa kutokana na maumivu
  • Kushindwa Kuvaa viatu vya wazi kutokana na Fedheha ya Vidole kutokuwa na Muonekano Mzuri
  • Kushindwa kuvaa viatu vya Size yako maana havitakuwa vinakutosha tena
  • Kukosa Furaha na Muonekano Mzima wa Vidole au Mguu wako.
Bunions ni Nini?
Bunion ni Kinundu cha mfupa ambacho hujitokeza kwenye maungio ya mifupa hususan ya kidole Gumba cha Mguu. Bunion hutokea pindi kidole kidole gumba cha mguu kinapokisukuma au kinapokielekea kidole kinachokifuata yaani kidole cha pili yake.

Hali hii husababisha maungio ya kidole gumba cha mguu kuvimba na kutengeza Kinundu cha Mfupa. Ngozi ya juu ya hiki kinundu huwa na tabia ya kuwa nyekundu na yenye kuwasha hususan katika hatua za awali za kutengezwa kinundu hiki.

bunion-foot-jpg.974591

Tabia za kuvaa viatu vyembamba au vinavobana huchangia kutengenezwa kwa kinundu hiki au kuongezeka ukubwa.

Katika Jamii zetu, Bunion huweza kuchangiwa na maumbile ya kurithi, stress kwenye mguu wako kutokana na aina za viatu unazovaa au hali ya kiafya kutokana na kusumbuliwa na Baridi yabisi.


Kitu cha Mazoea
Kimtazamo, watu wengi hudhani bunion ni kitu cha kawaida tu na hivyo hakihitaji tiba au marekebisho yoyote, hii si sahihi kwani kama Kinundu hiki kikiachwa huweza kuwa kikubwa na kupelekea shida na maumivu hususan kwenye sehemu zingine za mguu wako.

Bunions huanza taratibu na kuendelea kuongeza ukubwa kadri muda unavyozidi kwenda, presha kutoka kwenye kidole gumba cha mguu hukisukuma kidole kinachofuata kuelekea ndani hivyo kuzidi kutengeza kinundu kikubwa zaidi ambacho husababisha maumivu na pengine kushindwa kuvaa viatu au kushindwa kutembea.

bunion-treatment-png.974627


Waathirika Zaidi ni Kina nani?

Bunion huweza mpata mtu yoyote ingawa ki asilimia tatizo lipo zaidi kwa wanawake kuliko wanaume. Wanawake wanapenda kuvaa viatu vya kubana, au viatu vyembamba au vya Kuchuchumia (High Heels) ambavyo huchangia kujitokeza kwa bunion, kukua au kuwa kubwa zaidi.
naomi-campbell-bunions-oprah-winfrey-jpg.974652

Njia nyepesi ya kupunguza maumivu yanayotokana na bunion ni kuvaa viatu vipana vinye kisigino kifupi mathalan raba au sandals za flat huku ukitumia njia mbadala nyingine za kupunguza presha kutoka kwenye kidole gumba na kukirudisha nje.

Dalili
Dalili na Alama za Bunion huambatana na yafuatayo:-
  • - Kuwasha, jasho na uwekundu kwenye mfupa wa jointi ya kidole gumba
  • - Kuanza kujitokeza kijimfupa kwa nje kwenye kona ya jointi ya mfupa wa kidole gumba.
  • - Magamba kwenye nyayo na Visugu kwenye vifundo vya vidole
  • - Tumbo kwa chini ya kidole gumba cha mguu
  • - Maumivu ya Kinundu (Bunion)
  • - Kushindwa kusogeza kidole gumba cha mguu hasa ikiwa utakuwa na tatizo la baridi ya yabisi.
Matibabu
Zipo Bidhaa Mbalimbali ambazo hutumika kurekebesha matatizo yahusu Vinundu kwenye vidole gumba na mguu kwa ujumla,Kulinga na Hatua / Stage ambayo Tatizo lako limefikia. Ikiwa utachelewa mpaka kuingia stage ya nne basi hapo itakulazimu uende hospitali ukafanyiwe Upasuaji.
surgery-bunion-scale-of-bunions-bunion-surgery-ny-jpg.974635

Kwa Hatua za awali basi zipo bidhaa mbalimbali za kutumia kwa kuvaa Mchana na Usiku huku ukiendelea na shughuli zako za kawaida na ukawa unajitibia. Mingoni mwa bidhaa hizo ni :-

Bunion Correctors
Hii no Bidhaa ndogo Maalum kwa ajili ya kunyoosha mfupa was Kidole gumba uliopinda Na Hatimaye kukirudisha Kidole gumba kwenye Hali yake ya Kawaida.Huvaliwa wakati wa kulala au ukiwa upo eneo moja umetulia bila movements zozote.
corrector-jpg.974636


Relief Toe Spreader
Hizi husaidia kurudisha Kidole gumba sehemu yake huku ikimfanya mvaaji kuendelea kuvaa viatu vya kutumbukiza na kuendelea na shughuli zake Kama Kawaida. Zimetengenezwa Kwa Materials Laini ambayo Humpunguzia Mvaaji Maumivu.

dr-rogo-bunion-relief-2-big-toe-protectors-with-gel-secure-strap-for-bunions-treatment-bunion-jpg.974637


Bunion Sleeves
Hizi husaidia kurudisha Kidole gumba sehemu yake kwa ufanisi mkubwa huku kikikupa nafasi ya kuendelea kuvaa viatu mathalani Vya kutumbukiza au hata Sandals bila usumbufu.
gel-sleeve-jpg.974641


Splint Correctors
Hizi ni Bidhaa maalum ambazo huvaliwa hata Na Sandals za wazi ambazo hazimzui mwenye Bunion kuendelea na shughuli nyingine mfano kutembea, kukunja mguu, kuchuchumia n.k.
corrector-new-jpg.974643

Toe Spacers
Hizi Ni products zenye Material ya Silicone na zipo soft, zinatatua Tatizo Lako la Kinundu Mguun huku zikikufanya kuwa Comfortable Kuzivaa.
toe-spreader-4-jpg.974646

Bidhaa hizi zipo za aina Nyingi, hizo juu ni kwa uchache Tu. Tusifanye Kuwa Kinundu cha Mguu ni suala la Kawaida, Tujitibu Sasa sisi na wapendwa wetu, Jipatie Leo Bidhaa stahili ili utatue suala Lako na Ndugu Zako.


MAWASILIANO/LOCATION

Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
Au waweza Nifollow Instagram kwa Updates zaidi :- Bunions Tz (@bunions_tz) • Instagram photos and videos
Napatikana Tandika Magorofani na Tandika Stand ya Sinza ambapo nafanya na shughuli zinzine za Digital Printing na Graphics Designing.


Tafadhali Share na Wengine.

Karibuni Sana.
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Tahadhari ya Kuvaa Viatu vya Kubana au Vyembamba kwa Wote Zaidi wa Kina Dada.

Najau wengi wetu tunapenda kwenda na Fashion na Mitindo ya kisasa ya viatu imekuja na changamoto ya viatu kuwa Vyembamba au vya kubana kutokana na Design yako though namba au size ikawa ni ya Mguu wako. Ikiwa ni hivyo basi ni vyema tujakiepusha na aina hii ya Viatu au la tusisitize kuchukua viatu ambavyo havita vipa Stress Vidole vyetu au kujikunja kwa namna yoyote ile.
viatu-vya-kubana-na-bunion-jpg.975475

Chukua Tahadhari, Usijisababishie Madhara.
Bunions Zinatibika kwa Bidhaa Sahihi.
Jipatie Bidhaa zako sasa
Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Relief Straps.
Jipatie Mikanda Maalum ya Kunyoosha Vidole kwa Utaraibu Maalum wa Mazoezi ya Kuondoa Vinundu na Kunyoosha Vidole Vyako sasa.
strapps-jpg.975920

Wasiliana Nami sasa kama Una Tatizo Hilo au una Mpendwa Wako anasumbuliwa na Vinundu vya kwenye Dole Gumba la Mguu.

Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Kwa Wenye Vidole Vilivyotanuka, Vilivyojibananisha na Bunions, Zipo Bidhaa kwa Ajili yao.

Kuna baadhi ya watu wamezaliwa na vidole vimeachana kwa nafasi isiyo ya kawaida au kubanana kuliko tofauti na kawaida. Hii iwapelea kutokuwa na amani mbele za watu ikiwa yawapasa kukaa miguu wazi. Waondoe Hofu tena maana zipo Bidhaa Maalum kwa ajili yao ambazo zitaweza kumaliza tatizo hilo na kuwafanya warudi kwenye hali zao za kawaida, bora kuliko awali.
yoga-toes-jpg.976056

Bunions Zinatibika kwa Bidhaa Sahihi.
Jipatie Bidhaa zako sasa
Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
bunion-care-8-zp2196-jpg.976860

Jipatie Suluhisho la Matatizo ya Vidole vya Miguuni na Vinundu kwa Bidhaa Sahihi.
Jipatie Bidhaa zako sasa
Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
flyer-b-3-png.981782

Jipatie Suluhisho la Matatizo ya Vidole vya Miguuni, Vinundu Miguuni Maumivu ya Nyayo na Ankle kwa Bidhaa Sahihi.
Jipatie Bidhaa zako sasa

Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Kwanini Mkuu? Kama unamfaham mwenye Tatizo miongoni mwa hayo hapo juu usisite kumuunganisha nasi. Karibu sana.

Jipatie Bidhaa zako sasa
Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Duh kweli bunioni mbaya kiatu chake dawa
Hahaaa, Mkuu, Ile ni Baniani Mbaya...

Kwa Hii Bunioni Mbaya ila Bidhaa za Kurekebisha zinapatikana, karibu sana.

Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Bunions na Matatizo Mengine ya Miguu Mfano Maumivu ya Nyayo na Miguu Iliyokosa Uvungu, Bidhaa zipo hadi kwa wenye matatizo ya Ankle na wanafanya Mazoezi Kila siku.
sports-ankle-protective-sleeve-brace-compression-jpg.985534


Jipatie Bidhaa zako sasa

Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
.
 
NYANYADO

NYANYADO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Messages
3,034
Likes
1,159
Points
280
NYANYADO

NYANYADO

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2013
3,034 1,159 280
Gharama kaka?
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Inategemea na Bidhaa husika mkuu, Kuna Products za Kuanzia Tsh Elfu Kumi (10,000/-) Kwa Moja, Kuna Kit za Elfu Thelathini (30,000) na Kuendelea depending na hali ya Muhitaji.

Jipatie Bidhaa zako sasa

Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
 
P

Patroman

Senior Member
Joined
Nov 12, 2018
Messages
149
Likes
171
Points
60
P

Patroman

Senior Member
Joined Nov 12, 2018
149 171 60
Kwa Wenye Vidole Vilivyotanuka, Vilivyojibananisha na Bunions, Zipo Bidhaa kwa Ajili yao.

Kuna baadhi ya watu wamezaliwa na vidole vimeachana kwa nafasi isiyo ya kawaida au kubanana kuliko tofauti na kawaida. Hii iwapelea kutokuwa na amani mbele za watu ikiwa yawapasa kukaa miguu wazi. Waondoe Hofu tena maana zipo Bidhaa Maalum kwa ajili yao ambazo zitaweza kumaliza tatizo hilo na kuwafanya warudi kwenye hali zao za kawaida, bora kuliko awali.
View attachment 976056
Bunions Zinatibika kwa Bidhaa Sahihi.
Jipatie Bidhaa zako sasa
Unaweza wasiliana nami kwa Whatsapp/Text/Call 0784 645 900
Ujumbe mzuri sana, nakushauri tafuta kipindi Azam tv au Tangazo la tv utapata watu wengi sana, mm nilikuwa nikiwaona watu wa hivyo najua ndivyo walivyozaliwa au kutokuvaa viatu utotoni. Asante kwa taarifa huwa napenda sana miguu ya wadada.
 
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
70
Likes
15
Points
15
Infinity Solutions

Infinity Solutions

Member
Joined Apr 6, 2018
70 15 15
Ujumbe mzuri sana, nakushauri tafuta kipindi Azam tv au Tangazo la tv utapata watu wengi sana, mm nilikuwa nikiwaona watu wa hivyo najua ndivyo walivyozaliwa au kutokuvaa viatu utotoni. Asante kwa taarifa huwa napenda sana miguu ya wadada.
Asante sana kwa Ushauri Mkuu, ntaufanyia kazi. Hahaaa, Umenifurahisha hapo mwishoni, Karibu sana, tupo Pamoja!
 
J

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
7,431
Likes
4,814
Points
280
Age
38
J

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
7,431 4,814 280
Hela ya kula tabu tukanyooshe vinundu
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,450