chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,751
Aisee hongera sana. binafsi niko kwenye mkakati.mimi naacha kazi za ofisi zinazingua nahamia ufugaji wa kuku asilimia 100% nafugia nje ya mji nishajipanga mazima,.......na sitaki demu anisogelee maana hawa wanakukimbilia wakiona una mapesa kibao