Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

Kwa baba yako kuna kila kitu isipokuwa kimoja hicho ndicho kinakuhamisha lazima uhame hayo mengine ni mbwembwe tu muhimu ule, utibiwe, uvae, kazi ni kazi tu. Ukitaka mambo makubwa yana gharama utaweza
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Kuringa ukute sura yenyewe mbaya
 
a80da025f2b599b5f952971b08e5b22e.jpg
 
unakita kidem chenywe cheusi kibaya af unataka mme wa kwenye tv ivoo..
 
Kwanza huna sifa ya mwanamke wa kuolewa MTU gani huna aibu TENA bora asikuoe kenge kama wewe huna adabu nenda kajiuze kwenye madanguro na wale waliolewa na watu wasio na kazi toka hapa Indoa ujinga hata kama baba ako ana Mali ni zako wewe mwenyewe huwezi kufuga hata kifaranga wazazi wako hawa kukufundisha adabu tuondolee gundu mjusi wa kike
 
Ungetaka mazuri ungesoma ingekuwa na kazi yako acha uzembe mwambie inaonyesha huna elimu ya dini wala ya DUNIA wewe ndio unawalibia watu Siku kwanza akili huna huwenda elimu ndogo
 
Watu wa iv kwao huwa ni masikini sana, na hajawahi waonyesha rafiki zake wazazi wake ni akina nani wala wanapoishi.
Watu wa iv baba zao huwa ni hohehahe, ivo anatafuta sponsa ili aokoe familia yao.
Cc Sasha poultry.
 
Wewe mmbea unajitangaza nani hakutake wewe so bora nikabake hata ngurue KULIKO kufuata mnyama pori kama wewe India gono lako eti at a mwalimu wewe umelaaniwa kwa kutoa mimba za walevi
 
Mmhh watoto Wa kike tunatabuuu apo umri ukasheanda utamtafta mfuga panya sio kuku tena
 
Siku zote ananitoa out, tunaenda viwanja vikali vikali nikajua nimepata bae ambaye ni ofisa. Hee!! Kumbe mfuga kuku!!

Mara kadhaa amekuwa akijieleza kuwa hatokuwa na nafasi siku hii na hii kumbe anaenda kwenye mabanda yake ya kuku.

Tangu anitokee ni miezi 2 na kitu imepita, tulishafika hatua ya kukubaliana kuoana. Lkn muda wote huo nilikuwa sijaenda kwake.

Leo ktk kuupokea mwaka mpya ndiyo nimeenda mpk kwake nikakuta shughuli yake ya kumuingizia kipato ni kufuga kuku

Come on!! Nimekasirika sana. Yaani mm niwe na mume ambaye asubuhi namuandalia chai ili akafagie mabanda ya kuku? Nitaificha wapi sura yangu mbele ya mashosti zangu tuliomaliza nao chuo wakija kunitembelea? Never on earth!

Nataka mume namuandaa anaenda airport kuhudhuria kongamano mikoani ama nchi za watu. Siyo anahangaika na kinyesi cha kuku!

Ameniharibia sikukuu yangu huyu! Ananionaje kwanza mm? Nafaa kuwa mke wa mfuga kuku mm?? Huyo mwalimu tu asitie maguu hapa.
Aghiiiiiiii!!! Sitaki.
Wewe ni pumbaf kabisa,unafahamu kampuni ya Kibo poultry wanafanya biashara gani?kapige umalaya huko.
 
You are the problem..!! You better watch your ways..but all in all I appreciate you...dah nimejitahidi hapa jasho lanitoka vibaya mno..
 
Back
Top Bottom