Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,236
Haya ni mapenzi au uchokozi?Hahaha! Mtake radhi YoYo na ZD tafadhali! lol!
Haya ni mapenzi au uchokozi?Hahaha! Mtake radhi YoYo na ZD tafadhali! lol!
ntapigaje chabo za vichochoroni wakati mechi inaweza kuandaliwa chumbani kwetu tukajipiga chabo wenyewe?
Nakubaliana na utafiti huu,kulala pamoja wanandoa si sahihi.viwepo vitanda 2 chumbani.Mnalala pamoja mnapohitajiana kimwili.
kwanza italeta heshima na pili kila mtu ata m-miss mwenzie.
jana nilikuwa tait kiduchu!leo pia lakini nitajaribu kuibia ka muda kidogo!kuna mtu nasikia alinitukana sana.sasa tangu jana usiku naitafuta hiyo post siioni!unaweza ukawa unaikumbuka?
Chanzo cha kukoroma ni nini? hili ndo swali la msingi.
Nakubaliana na utafiti huu,kulala pamoja wanandoa si sahihi.viwepo vitanda 2 chumbani.Mnalala pamoja mnapohitajiana kimwili.
kwanza italeta heshima na pili kila mtu ata m-miss mwenzie.
Mi nafikiri hii tafiti ina wavutia na ni Nzuri kwa wanaume tu!!-
Nina amini ni tafiti yenye kero kwa Wanawake-wanawake wana penda kulala na wanaume sana!! wana jibinua binua yaani taabu kweli -kweli-!!...Mi nafikiri huu utaratibu lazima ni uanzishe nyumbani kwangu!!
mi nafikiri hii tafiti ina wavutia na ni nzuri kwa wanaume tu!!-
nina amini ni tafiti yenye kero kwa wanawake-wanawake wana penda kulala na wanaume sana!! Wana jibinua binua yaani taabu kweli -kweli-!!...mi nafikiri huu utaratibu lazima ni uanzishe nyumbani kwangu!!
humpendi mkeo unadhihirisha hapa anakusumbua? Mkeo kazi anayo mimi natamani hata anilalie kila dakikia.
Yaani Mke wangu aku lalie?
(((((((((((what?))))))))))
mtu akikuzoea sana inakuwa tabu,mkishaanza mambo ya kukoromeana na kujambiana,basi kwa sisi waafrika ni tabu.heshima ipi unayoiongelea hapo ZD?
mtu akikuzoea sana inakuwa tabu,mkishaanza mambo ya kukoromeana na kujambiana,basi kwa sisi waafrika ni tabu.
mtu akikuzoea sana inakuwa tabu,mkishaanza mambo ya kukoromeana na kujambiana,basi kwa sisi waafrika ni tabu.
mkilala vitanda tofauti hamyackii hayo?...mazoea yaanzia pale unapoingia ndani pa1 kama mume na mke, na hayakwepeki kabisa, mtazoea tu kwa namna moja au nyingine....
..Hakuna raha yoyote na hili joto la mjini hapa mh!! inatakiwa kikao kikimalizika kila mtu alale kwenye kitanda chake....Kulala pamoja watu wawili wa jinsia tofauti ni raha jamani khaaa!!Hizi tafiti nazo zinataka kutibua tu.