Eti Kulala Pamoja si Afya! kwa wana NDOA

wajameni kazi ya vitanda vikubwa 6x6 ni nini?

kwangu binafsi hakuna raha kama kulala na mai waifu wangu! dah, wacha bana...

Hii ya kulala vitanda viwili wameizoea 'wazungu' ndo maana hata ndoa zao talaka kwa wingi huenda hili linachangia! hakuna ile closeness ya ivo!
 
sema na wewe mr wangu, khaa mie bwana bila kukumbatiwa na mr cjickii raha kabisa labda awe safarini...lol
 
Afasavali umesema wewe,kuna siku zingine mnajisikia kula daku ingawa kesho yake hamtafunga.Ulishawahi kuamshiwa daku wewe,acha habari hiyo.Mnaweza kujikuta asubuhi imefika na ilikuwa saa tisa.Jamani mie na hiyo afya niikose tuu,tena nina mpango wa kuachana na 6 kwa 6,naenda kujinunulia 3 kwa 6.Full kugusana.
 
Hapa tupo ukurasa mmoja kabisa Che, mambo ya daku usiyataje hapa manake ni hatari tupu!
 
Sasa mkuu mwenzako yuko chumba cha pili panalika daku hapo.Unajua wakati mwingine kitendo cha kuzungusha mkono na kumgusa mwenzi wako inaongeza togetherness.
 
hiyo ndo tukisea affection, na pia kuongeza ule 'mfanano' mkijitenga vitanda mtakuwa na mawazo ya kujitenga jumla kabisa, Enzi za mwalimu alisema ukishaanza dhambi ya kujitenga utajikuta unaendeela ni kama kula nyama ya mtu.

sasa basi, hao wanaodai kuna sababu za kiafya kujustify watu walale tofauti kwangu mi naona inajenga dhana ua kutengana zaidi na sio kuwa pamoja.

Ujue kwenye zengwe la divorce hasa kwa wenzetu kuna watu wanasheria wamebobea kusolve kesi za talaka, sasa kusipokuwepo talaka wao wakale wapi? dah,
 
Jamani hizi tafiti tuziangalie zisijekuwa zakina

"""a.k.a. Dk nchimbi""

"""a.k.a dk kamala""

tunaitaji kuzitafiti kwanza elimu zao
 
sema na wewe mr wangu, khaa mie bwana bila kukumbatiwa na mr cjickii raha kabisa labda awe safarini...lol

Dada Nyamayao,
Wewe na mke wangu utafikiri mmetoka tumbo moja. Yaani mke wangu bila kukumbatiwa hapati usingizi. Nikisafiri anapata shida kweli. Kizuri ni kwamba mke wangu analala vizuri mno na najisikia vizuri kumkumbatia, napata joto lake kisawasawa nami nalala usingizi mtamu kweli. Hii pia hupelekea kuwa na hamu ya tendo la ndoa hata kama tumechoka, maana kile kijoto cha kila mmoja huleta raha ya aina yake. Jamani kulala pamoja kutamu bwana.
 
Kwa msingi huuu wa utafit wake inaonyesha'

afya ni kwa wale wanaolala pa,oja pasipo na ndoa kama sijakosea
 
Back
Top Bottom