Eti kisaa sijalewa

Eti kisaa sijalewa

Pole sana mtu wangu.
Nawahurumiaje ! Wanaume wenzangu waonaopatwaga mamisukosuko kihivi ?
Mie mwanangu Wife wangu yuko poa si kawaida.
Nanenepaje ?
Sijui nimtaje umfahamu !
Lakini hapana mwenyewe anajijua , nachelea kuiainisha misifa yake hapa ni mingi inaweza toka Kimara hadi Mbezi kwa Yusufu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom