Eti kisaa sijalewa

Eti kisaa sijalewa

afu ile gesti ya Mndenyi huwa ni ya huyu memba mwenzetu?
Huwa nawaza Mamndenyi ni mke wa Mndenyi.

Hata mimi sina hakika Konnie...

Ila kuna kila kufanana kwa matumizi ya jina lake na la mwenye "nyumba ya wenyeji"
 
Hahaha! Utanisababisha nivunje simu yangu kwa hasira, bora uache mie ntakupigia mwenyewe!
Usisahau kuja kuchukua na ule mzigo wako wa ndizi za Moshi maana nawewe bila kukumbushwa huji
 
tegeta, upande wa pili na zero pub, unaingia chochoro moja unafika.

Basi muulize huyo mhudumu wa zero pub akuelekeze. Kutoka pale tegeta by ninght sio mbali kabisa.

BM complex ya wapi hiyo Konnie?
 
tegeta mita kadhaa kutoka azania bank.
Ila vumbi, pamepauka kweli sababu barabara inajengwa.
huko mbali starehe zangu huishia Mwenge,mpira huangalia Olympia pale Sinza mori au Q-bar o/bay ni pazuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom