Eti JF ni CHADEMA?

JF=(wenye uchungu na nchi+wanaoiombea mema Tanzania)-Samvula chole

Unatakiwa kutumia akili, this is non partisan forum. Kama ukijiona wewe ni Mtanzania unataka kupongeza zuri la serikali ya JK au upinzani, well and good. Kama ukitaka kupiga madongo mabaya ya serikali na upinzani forum is open. I hope you IQ IS NOT Below 70
 
JF=(wenye uchungu na nchi+wanaoiombea mema Tanzania)-Samvula chole

Sasa vacancies ninazoziweka sijui zinaangukia wapi? CHADEMA? CCM? CUF? Hapana; napenda watanzania wanufaike nazo kwa maisha bora baadae (endapo watafanikiwa kupata nafasi hizo).

Nilikuwepo
 
Semvu Umeenda Wapi Mwana

Kama Forum Ingekua Ya Chadema Au Ccm Ungeona Ilani Ya Chama Hapo Mbele Kabisa Au Kama Ingekua Ni Ya Watu Wa Dini Fulani Napo Ungeona Ilani Yao Au Kibox Fulani Ambacho Kinaelezea Itikadi Na Mambo Yao

Forum Yoyote Ambayo Iko Kwa Masilahi Ya Kundi Fulani Au Imani Fulani Inakua Na Itikadi Zake , Jambo Forum Haiko Hivyo Ni Mali Ya Members Wote Wale Wanaochangia Hata Wale Wanaosoma Tu Na Hata Wale Ambao Wanapelekewa Michango Ya Jambo Forums Kupitia Emails Na Kadhalika

Semvu Tunakuheshimu Kwahiyo Endele Kuchunga Heshima Yako Na Heshima Ya Forum Na Endele Kutuletea Habari Na Hoja Moto Moto Unavyosema Hii Ni Mali Ya Chadema Unakua Unapotosha Ummmah Na Kutudhalilisha Wengine Hatuna Vyama Wala Dini

Mfano Mimi Naandika Nachopenda Leo Naandika Kuhusu Serikali Kesho Naiponda Na Mambo Kama Hayo Kwahiyo Naandika Kwa Mapendo Yangu Je Uta Niitaje ?

Jaribu Kuheshimu Hii Forum Fanya Kama Ni Wilaya Fulani Hivi Kwahiyo Ukifanya Kosa Au Ukijaribu Kuvuruga Amani Na Kutuma Emails Za Ajabu Ajabu Basi Unaweza Kuadhibiwa Kwa Kufuata Sheria Za Wilaya Hiyo

Ahsante Jioni Njema
 
Burudani kweli, kweli mwanakijiji anaweza kunishinda siasa lakini sio Hesabu!
 
kwenu wanazuoni, wachambuzi, watafiti, watalaam wa JF na uongozi wa CHADEMA, asalaaaaaaaaaam Aleykum,

Leo nataka mnieleze uhusiano kati ya chadema na Jamii forums baada ya kufanana, kuoana na kurandana katika mambo yafuatayo;

(i) Rangi za ukuraza wa JAMII FORUMS zinafanana na rangi za BENDERA ya Chadema
(ii) Msimamo wa wana JF wengi na Chadema almost ni sawa.
(iii) Baadhi ya washirika wakuu wa JF pia ni washirika na viongozi wa Chadema
(iv) JF na CHADEMA wote kwa sasa wanadai wako kwenye vita dhidi ya ufisadi
(v) Walipua mabomu wa humu JF wanalipua na evidence (attachments) kama ilivyo kwa walipua mabomu wa Chadema (wazee wa nyaraka) ie Zito, Slaa, n.k
(vi) Kwa kufuatilia majadiliano mbalimbali ya humu JF inaonyesha kuna uhusiano wa kisiasa, kifamilia na ule wa kupashana habari kati ya wana JF na CHADEMA...

Kama kuna mtu nimemkwaza naomba aombe mungu amsamehe ila kwa sasa naomba kujifunza sihitaji kutukanwa wala kurushiwa maneno ya kejeri...

TUMSIFU YESU KRISTO
 
asalaaaaaaaaaam Aleykum,





TUMSIFU YESU KRISTO

haya mawili yanakuonyesha jinsi ulivyo,yaani unapenda kuchanganya mambo. Rangi zimeumbwa na mungu wala hazihusiani na chama chochote. wakati fulani Michael Jackson alifika hapa Bongo akiwa amevalia shati la kijani na surali nyeusi, alikuwa ni CCM?
 
Mbona mimi naona pia rangi za kijani zipo kwa wingi? Kwa hiyo no. 1, ondoa. La pili kuhusu msimamo, hivi akina Mama kilango, Sendeka et al amabo wanapinga ufisadi nao ni chadema?

Kuhusu nyaraka nafikiri huwezi kujenga hoja bila data. Hiyo sentensi ya mwisho sijui ulitaka kuigiza au ulitaka nini maana hapa si mahala pake.
 
haya mawili yanakuonyesha jinsi ulivyo,yaani unapenda kuchanganya mambo. Rangi zimeumbwa na mungu wala hazihusiani na chama chochote. wakati fulani Michael Jackson alifika hapa Bongo akiwa amevalia shati la kijani na surali nyeusi, alikuwa ni CCM?

Mh. kwa nini usichambuae maada badala ya kuniuliza hoja unayoikumbuka toka uzaliwe,,,nenda kwenye jukwaa la burudani na anzisha thread uulize ""Michael Jackson ni CCM?""
 
Mbona mimi naona pia rangi za kijani zipo kwa wingi? Kwa hiyo no. 1, ondoa. La pili kuhusu msimamo, hivi akina Mama kilango, Sendeka et al amabo wanapinga ufisadi nao ni chadema?

Kuhusu nyaraka nafikiri huwezi kujenga hoja bila data. Hiyo sentensi ya mwisho sijui ulitaka kuigiza au ulitaka nini maana hapa si mahala pake.

nimekusoma mkuu,,, lakini swala la mama kilango linafahamika kwa nini anakua na msimamo wa vile......
 
Na hoja zinazotolewa nazo zina rangi?

Mpita Njia yani always usipopita kwenye njia ambazo sisi tupo huwa tunapata shida kwasababu wewe ni mrefu vya kutosha(twiga) na hivyo una uwezo wa kutizama wakati unapita kwenye njia tuliyomo na hivyo kutupa habari zenye kuhusu ng'ambo ya mbali ili tujue ni njia ipi isiyokuwa na mitetereko huko mbeleni!
Safi sana mkuu na tunapenda uendelee kupita na kudondosha maneno mawili matatu yenye busara!
 
nimekusoma mkuu,,, lakini swala la mama kilango linafahamika kwa nini anakua na msimamo wa vile......

Mkuu

Mimi sihitaji kujua mengine cha muhimu ni mimi naona nini. Kilichopo Tanzania tuna tatizo na tatizo lililopo ni rushwa/UFISADI, sasa Mkuu hivi ukisikia mtu ana bilioni kadhaa wakati hana biashara za maana hilo ni suala la kiitikadi au nini?

Mimi sihitaji kujua mengine juu ya Kilango au chadema ninachojua tuna tatizo la ki-maendeleo basi.
 
you have missed a home train!

if you think so then jump this thread since the're lot of it,,,,may be upeo hauruhusu so tafuta panapokufaa...nipo kitambo kwenye game bwana na niko Online 16HRS a day...so kanyaga kwa heshima bwana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom