Vikao vya Harusi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 532
- 165
Kama unaona Jeshi linakosea kumtetea mtu wao na unajua hawana ushaidi wowote, peleka ushaidi wako kudhibitisha kamanda aliua kwa makusudi.!
Umeniwahi mkuu,nilitaka kumwambia hivyo hivyo
Kama unaona Jeshi linakosea kumtetea mtu wao na unajua hawana ushaidi wowote, peleka ushaidi wako kudhibitisha kamanda aliua kwa makusudi.!
Kumbe na wewe hukuwepo eneo la tukio..so huna ushahidi...zaidI ya kukopI ya gazetinI ambapo nao hawakuwepo...naamini huyo meja sio mjinga
Tusichangie kishabiki tafadhali maisha ya binadamu yamepotea hapo ,matukio ya baadhi ya askari wa majeshi yetu kuua raia bila wao kuchukuliwa hatua zinazostahili ni mengi sana yametokea hivyo inawezekana kabisa huyo Meja aliua huku akijua hakuna wa kumuwajibisha.Tusifurahie vifo kwa binadamu wenzetu leo kwao kesho kwako ,inafaa tukemee sote kwa sauti moja.Jana kwa walioangalia taarifa ya habari I.T.V iliripotiwa police kuwalipua kwa mabomu ya machozi kina mama waliokuwa wakirudi majumbani mwao nyakati za usiku na walikuwa wametoka ktk mkesha wa ibada ya krismass na sote tuliona ni kwa jinsi gani walijeruhiwa vibaya miguuni kwao na walikuwa wamelazwa hospital ,kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas nae aliwatetea askari wake kuwa kina mama hao walikuwa wakiwarushia polisi mawe.
Kila tukio baya linapotendwa na baadhi ya askari wa majeshi yetu dhidi ya raia ,wakubwa wao wmekuwa wakitoa utetezi usiojitosheleza .
Sikusema kuwa nina ushaahidi ila anapotokea mtu tena mzito kutoia ufafanuzi wa jamboa ambalo kaambiwa na mtuhumiwa sidhani kama ni sawa. unless amesikiliza pande zote amejiridhisha na hapo sasa inakuwa ni mahahaka.

Wewe ndio unakurupuka. Habari hii iliripotiwa mapema zaidi humu jf na wadau wengi walipata balanced story. Sipendi kurudia hasa kwa vile wewe unaongozwa na emotions. Wewe mtu akitaka kukubaka utatulia amalize ili upate ushahidi? Lakini kitu ninachojiuliza, hawa watoto walikuwa,wanafanya nini barabarani saa saba usiku? Hivi wana wazazi hawa?
Hivi kwa akili yako finyu unafikiri Jeshi halina maelezo ya pande zote mbili???
Wale jamaa walioparamia gari unawaita watoto waliokuwa wanasherehekea mwaka mpya ila wangemuua aliyejihami mngeanza kuilaumu polisi na kumtukana mwanajeshi kwa kumwita lege lege....Niwape pole marehemu tu ila iwe funzo kwa vijana hawa wahuni wanaotumia furaha yao vibaya kuharras wengine!
Na wewe kwa akili yako ''pana sana'' umejuaje jeshi lina maelezo ya pande zote? Walikupatia wewe?
watoto wanalala mapema, sasa hawa usiku wa manane unawaita watoto? hata mimi na msapoti....
Thibitisha kwamba ametumia maelezo ya mtuhumiwa pekee.
Unaua watoto wawili kwa sababu wameparamia gari yako? Realy? Watu wengine akili zenu zinafanya kazi kama za mbwa... mpaka tukio likukumbe wewe au mtoto wako ndio utajua ubaya wake!
watoto wanalala mapema, sasa hawa usiku wa manane unawaita watoto? hata mimi na msapoti....
Kwa sababu Jeshi ni taasisi sio wendawazimu kama nyie mnawaza mambo kwa kutumia moyo badala ya ubongo.
Haya kumekucha Tanzania. Kweli Internet imetuletea mambo! Mtoto anayezurura barabarani saa saba usiku wakati wa mkesha wa mwaka mpya adhabu yake ni kuuawa kwa kupigwa risasi!