Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

Johnsecond

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
1,076
Reaction score
211
Haiingii hakilini jeshi kusimama na kumtetea meja aliyeua watoto waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Hivi chombo kama jeshi kinaweza kuwa kinakurupuka hivi jamani, inamtetea kwanza hakijui mazingira ya tukio kwa sababu aliyekuwepo ni mtuhumiwa peke yake na hao watoto, wamewauliza watoto wengine wakasema wale walikuwa vibaka ???Hata kijana wa form six anaweza kuwa reasonable kuliko hao wanaotaka kumtetea huyu jamaaa. Ushahidi wa huyu meja ni nini? gari yake haina sehemu yoyote kuonesha kuwa waliipiga, hajachaniwa nguo, hakuna kitu chochote kuonesha kulikuwa na purukushani, sasa nini jeshi linakaa na kuanza kumytetea??? jeshi lilikuwepo kwenye tukio????

nimesikia kwenye magazeti leo asubuhi. . . .
 
Haiingii hakilini jeshi kusimama na kumtetea meja aliyeua watoto waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Hivi chombo kama jeshi kinaweza kuwa kinakurupuka hivi jamani, inamtetea kwanza hakijui mazingira ya tukio kwa sababu aliyekuwepo ni mtuhumiwa peke yake na hao watoto, wamewauliza watoto wengine wakasema wale walikuwa vibaka ???Hata kijana wa form six anaweza kuwa reasonable kuliko hao wanaotaka kumtetea huyu jamaaa. Ushahidi wa huyu meja ni nini? gari yake haina sehemu yoyote kuonesha kuwa waliipiga, hajachaniwa nguo, hakuna kitu chochote kuonesha kulikuwa na purukushani, sasa nini jeshi linakaa na kuanza kumtetea???

harafu jeshi linasema linatoa ufafanuzi, nyie mlikuwepo mpaka mtoe ufafanuzi?????

nimesikia kwenye magazeti leo asubuhi. . . .
 
Hii habari umeileta nusunusu kana kwamba Kila mtu anafahamu kilichotokea.
 
Wakati watoto wanasherehekea mwaka mpya huko pugu kinyamwezi huyu mwanajeshi alipita na gari yake sasa inasemekana wale watoto waliipiga ile gari na mikonoi kwa furaha za mwaka mpya basi yule meja akatoa pisto akawapiga risasi, watu wa pale wakaripoti polisi na polisi walipofika walipelekwa nyumbani kwa yule meja wakakuta anaondoka na gari nyingine wakamshika. Naikia walikufa wanne lakini leo nimesikia magazetini kuwa ni wawili.
 
Kumbe na wewe hukuwepo eneo la tukio..so huna ushahidi...zaidI ya kukopI ya gazetinI ambapo nao hawakuwepo...naamini huyo meja sio mjinga
 
Haiingii hakilini jeshi kusimama na kumtetea meja aliyeua watoto waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Hivi chombo kama jeshi kinaweza kuwa kinakurupuka hivi jamani, inamtetea kwanza hakijui mazingira ya tukio kwa sababu aliyekuwepo ni mtuhumiwa peke yake na hao watoto, wamewauliza watoto wengine wakasema wale walikuwa vibaka ???Hata kijana wa form six anaweza kuwa reasonable kuliko hao wanaotaka kumtetea huyu jamaaa. Ushahidi wa huyu meja ni nini? gari yake haina sehemu yoyote kuonesha kuwa waliipiga, hajachaniwa nguo, hakuna kitu chochote kuonesha kulikuwa na purukushani, sasa nini jeshi linakaa na kuanza kumytetea??? jeshi lilikuwepo kwenye tukio????

nimesikia kwenye magazeti leo asubuhi. . . .

Wewe ndio unakurupuka. Habari hii iliripotiwa mapema zaidi humu jf na wadau wengi walipata balanced story. Sipendi kurudia hasa kwa vile wewe unaongozwa na emotions. Wewe mtu akitaka kukubaka utatulia amalize ili upate ushahidi? Lakini kitu ninachojiuliza, hawa watoto walikuwa,wanafanya nini barabarani saa saba usiku? Hivi wana wazazi hawa?
 
Wanasherekeheaje mwaka mpya kwa kupga gari la mjeda??. Sheria itamlinda kama aliapply self defence ila kama alifanya excessive self defence anaweza kuwa charged for manslaughter. Sasa ni kazi ya prosecutor kuprove beyond the reasonable doubt
 
Kama unaona Jeshi linakosea kumtetea mtu wao na unajua hawana ushaidi wowote, peleka ushaidi wako kudhibitisha kamanda aliua kwa makusudi.!

Vitisho hivi ndivyo vinavyofanya wananchi wasiwe na ushirikiano na serikali. Serikali inatakiwa ifanye kazi zake za kusimamia sheria kutokana na fununu (tip) tu, halafu yenye itatafuta ushahidi na kuthibitisha kama kweli fununu hizo ni za kweli au la. Lakini kwa Tanzania ya leo, ni mwanachi ndiye anayetakiwa na kuwa na ushahidi wa kuifanya serikali ifanye kazi yake. Maneno haya nimeyasikia sana kutoka serikalini,

....... kama una ushahidi wa Mabilioni ya usiwis ulete hapa.
....... yeyote mwenye ushahdidi wa rushwa katika rada aulete hapa
........Mwenye ushahidi wa wizi wa wanyama pori hkupitia KIA aulete tuufanyie kazi.
........
..........
 
Kumbe na wewe hukuwepo eneo la tukio..so huna ushahidi...zaidI ya kukopI ya gazetinI ambapo nao hawakuwepo...naamini huyo meja sio mjinga

Tusichangie kishabiki tafadhali maisha ya binadamu yamepotea hapo ,matukio ya baadhi ya askari wa majeshi yetu kuua raia bila wao kuchukuliwa hatua zinazostahili ni mengi sana yametokea hivyo inawezekana kabisa huyo Meja aliua huku akijua hakuna wa kumuwajibisha.Tusifurahie vifo kwa binadamu wenzetu leo kwao kesho kwako ,inafaa tukemee sote kwa sauti moja.Jana kwa walioangalia taarifa ya habari I.T.V iliripotiwa police kuwalipua kwa mabomu ya machozi kina mama waliokuwa wakirudi majumbani mwao nyakati za usiku na walikuwa wametoka ktk mkesha wa ibada ya krismass na sote tuliona ni kwa jinsi gani walijeruhiwa vibaya miguuni kwao na walikuwa wamelazwa hospital ,kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas nae aliwatetea askari wake kuwa kina mama hao walikuwa wakiwarushia polisi mawe.

Kila tukio baya linapotendwa na baadhi ya askari wa majeshi yetu dhidi ya raia ,wakubwa wao wmekuwa wakitoa utetezi usiojitosheleza .
 
Mimi naona huyu mjenda alitakiwa kupuga risasi hewani wangekimbia tu sema ni kwamba yeye ni mwanajeshi na depo wanafundishwa kupiga kwanzia kiunoni kuja mpaka juu ya kichwa hawana option ya hewani hawa na kuhusu jeshi kumtetea itakua ni yupo kwenye kitengo muhimu sana ila ilo halifanyi yeye kutetewa haki itendeke
 
Bora umenielewa, wengine wanachukulia kila kitu league
 
Mimi naona huyu mjenda alitakiwa kupuga risasi hewani wangekimbia tu sema ni kwamba yeye ni mwanajeshi na depo wanafundishwa kupiga kwanzia kiunoni kuja mpaka juu ya kichwa hawana option ya hewani hawa na kuhusu jeshi kumtetea itakua ni yupo kwenye kitengo muhimu sana ila ilo halifanyi yeye kutetewa haki itendeke

Nimekuelewa mkuu, haki nadhani itatendeka na issue niliyostuka ni jeshi kuanza kutoa utetezi mapema kwa mtuhumiwa wakati sis sote hatukuwepo
 
Vitisho hivi ndivyo vinavyofanya wananchi wasiwe na ushirikiano na serikali. Serikali inatakiwa ifanye kazi zake za kusimamia sheria kutokana na fununu (tip) tu, halafu yenye itatafuta ushahidi na kuthibitisha kama kweli fununu hizo ni za kweli au la. Lakini kwa Tanzania ya leo, ni mwanachi ndiye anayetakiwa na kuwa na ushahidi wa kuifanya serikali ifanye kazi yake. Maneno haya nimeyasikia sana kutoka serikalini,

....... kama una ushahidi wa Mabilioni ya usiwis ulete hapa.
....... yeyote mwenye ushahdidi wa rushwa katika rada aulete hapa
........Mwenye ushahidi wa wizi wa wanyama pori hkupitia KIA aulete tuufanyie kazi.
........
..........

asante
 
Wanasherekeheaje mwaka mpya kwa kupga gari la mjeda??. Sheria itamlinda kama aliapply self defence ila kama alifanya excessive self defence anaweza kuwa charged for manslaughter. Sasa ni kazi ya prosecutor kuprove beyond the reasonable doubt

yule ni trained hivyo kuua kwake nadhani alikuwa na hasira zake zingine tu, angepiga juu wangekimbia tu maana ni watoto wale jamani. Mbona majumbani kwetu sometimes inatokea wanapiga geti au kurusha jiwe kwenye paa tunajua ni furaha ya kupita kiasi. Na kibaya zaidi ilikuwa ni muda ambao kila mtu anajua kuwa watu wanasherehekea mwaka mpya so tunatakiwa kuwa waangalifu
 
ndio tabu ya wanajeshi wetu kutokwenda vitani yale mafunzo yao depo unadhani watayajaribu wapi?
tuombe hata vita ya kirafiki na kagame tuone
 
"Sometimes when you act like a hooligan on people, they get this impression that you're going to hurt them, and then they're completely terrified. The right to self defence arises.
 
Kama unaona Jeshi linakosea kumtetea mtu wao na unajua hawana ushaidi wowote, peleka ushaidi wako kudhibitisha kamanda aliua kwa makusudi.!

Sikusema kuwa nina ushaahidi ila anapotokea mtu tena mzito kutoia ufafanuzi wa jamboa ambalo kaambiwa na mtuhumiwa sidhani kama ni sawa. unless amesikiliza pande zote amejiridhisha na hapo sasa inakuwa ni mahahaka.
 
Kumbe na wewe hukuwepo eneo la tukio..so huna ushahidi...zaidI ya kukopI ya gazetinI ambapo nao hawakuwepo...naamini huyo meja sio mjinga

na mimi naamini kama wewe yule meja sio mjinga alikususdia, kumbuka mabo haya yalipompata kibanda alisema hivi " nilijua haya mambo huwa yanatokea kwa wao tu, lakini yametokea na kwangu" nimemaliza.
 
Back
Top Bottom