idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,300
- 38,450
Lakini wewe huoni pana walakini kwenye hii issue ya mwanajeshi aliyeua? Kwanini jeshi likurupuke kumtetea mtu aliyeua wakati bado mazingira ya kuua hayajafanyiwa uchunguzi? Wa kusema ANA au HANA makosa ni mwajiri wake au ni mahakama? Nadhani waafrika wengi bongo zetu zimeathiriwa na mazingira tunayokulia ndio maana hatuoni uzito wa mtu kuua au kuuawa!
Mkuu hapa kuna hoja mbili.
1: je huyo mjeshi kulikua na ulazima wa kuua hao watoto, kipi cha hatari walichokifanya hadi kufikia hatua ya ya kuwatoa uhai. Je walivunja kioo, walikwaruza gari kwa namna yoyote au walizui njia.?
2:kwa nini Jeshi likurupuke kumtetea kamanda wao.?
Kwa sababu hili ni kosa binafsi wala hakuepo kazini, alikua kwenye mizunguko yake.
Au sheria za jeshi zinaruhusu kamanda aliefanya uhalifu uraiani kutetewa na Taasisi.?