Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

Kumbe na wewe hukuwepo eneo
la tukio..so huna ushahidi...zaidI ya kukopI ya gazetinI ambapo nao
hawakuwepo...naamini huyo meja sio mjinga
peleka ushahidi wako mahakamani usituletee huku hutapata msaada
 
kuua ndio kosa kubwa zaidi
duniani na mbinguni,mahakama ipelekewe kesi hii ili itafsiri sheria kama
hajakosea.kwani alikua kikazi au eneo la kazi mpaka tuhitaji ufafanuzi
wa jeshi?
acha chuki zako hata mjeshi anahaki kikatiba kutetewa
 
We hunaakili Kweli nakwambia sa weulitaka afanyweje?
 
KOVU alitoa onyo mapema, kuwa vurugu mwaka mpya no, sasa hao vijana nawaonea huruma r.i
p kamanda aachiwe na jeshi litoe pole kwa familia za wafiwa
 
Lakini wewe huoni pana walakini kwenye hii issue ya mwanajeshi aliyeua? Kwanini jeshi likurupuke kumtetea mtu aliyeua wakati bado mazingira ya kuua hayajafanyiwa uchunguzi? Wa kusema ANA au HANA makosa ni mwajiri wake au ni mahakama? Nadhani waafrika wengi bongo zetu zimeathiriwa na mazingira tunayokulia ndio maana hatuoni uzito wa mtu kuua au kuuawa!


mmh, inawezekana.
 
Ok,mensi rea na kitu kingine kinachoitwa actus reus ndo vinatazamwa hapo.Msikurupuke kumhukumu mjeda,acha sheria ifuate mkondo wake.
 
Hiv alietoa ruhusa ya mwaka mpya kusherekewa kwa vurugu na kuleta bughudha kwa wengine ni nani??

Kwangu mimi naona mjesh alikuwa sahihi kujilinda yeye,mali zake (gari) na familia yake pia waliokuwa kwenye gari.
Ripoti za huko zinaonesha na kuthibitisha kuwa hao vijana (tena siyo watoto ,kama unavyosema) walikuwa wanafanya hizo vurugu kwa watu wengi na walileta uharibifu kwa magari mengine.
Ifike mahali tuwe tunaheshimiana.

"Mchelea mwana kulia, hulia mwenyewe." "Asiefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu." Sheria na haki haviwezi kuwafanya waliouawa wafufuke, si kila mtu anafahamu sheria, si kila mtu anaweza kulinda haki. Haijalishi kama ni watoto au watu wazima, unapohatarisha maisha ya mtu mwíngine fahamu kuwa unaweka rehani uhai wako. Sipendi kutetea mauaji, ila lazma kila mtu alaani vitendo vya kihuni na ukosefu wa maadili wa vijana wetu. Mzazi ukiwa muhuni watoto nao watakuwa wahuni pia. "Mshahara wa dhambi ni mauti" Furaha yako isiwe kero kwa wengine.
 
hapana wwewe mleta uzi ndio hujafuatilia kilichotokea! alichokifanya huyu mjeshi ni halali na alikuwa akijilinda baada ya kutoa tahadhari zote pasipo na utulivu tena ndio waliendea na fujo na walikuwa wakipora watu hawa wahuni! Tulia kama hujui! usitetee wahuni bhana!
 
Kuhusu utetezi nihaki yake hawezi kutiwa hatiani mtuhumiwa yeyote bila kupewa mda wa kujitea lakin kama atapatikana na hatia sheria itachukua mkondo wake lakin kiuhalisia Meja anamakosa alitakiwa kuchukuwa hatua mbadala kabla hajalenga pia yale nimazingila ya shamlashamula kuuwa nizambi polen wafiwa mola yupo nanyi haki itatendeka.
 
Walivamia gari yake tena akiwa na familia.
... Labda utuambie ungalikuwa ni wewe ungefanyeje ?
 
Inasikitisha lakini kwa muda na mambo waliyofanya hao watoto sishangai mtu anapojihami

Huyo jamaa alijihami mana hauweza kujua nini kinaendelea.Watotot walikosa busara kuvamia mali za watu bilakujua watu wenyewe ni kina nani.Tangu lini fuaha za ziwe kero kwa wengine? Are we that empowered by our low levels of thinking tht we can do anything and law will protect us? Hao watoto iko maneno.
 
Back
Top Bottom