Eti jamani huyu Chama tumpe jezi namba ngapi?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,397
3,492
Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama tumoe jezi namba ngapi jamani?

NB
Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
 
IMG_8455.jpg
 
Pamoja na kuwa mwanachama wa Yanga,ila kinachoendelea naona hakina umuhimu na mantiki yoyote, tujadili vitu vya msingi, miundombinu ya timu yetu kama kiwanja cha mazoezi, na hata kuwa na kiwanja chetu .....ila kujadili haya maujinga inasikitisha sana
 
Kwasasa habari ya mjini ni Mwamba wa Lusaka, ambaye masaa machache yajayo atatangazwa kuwa amesinya mkataba ndani ya klabu ya Yanga, hivyo ukiwa kama mdau wa michezo na mwanayanga unafikiri Chama tumoe jezi namba ngapi jamani?

NB
Kila mbuzi ale urefu wa kamba yake
Mpeni Jezi namba 1 mtani.
 
Hii timu ya wananchi kuna bomu wanalitengeneza, naona dalili za timu kufungwa goli kumi

Mtani,hata wewe unataka kuuvaa mkenge wa Manara? Nadhani sasa baada ya hukumu ya CAS umeelewa kwanini kelele za Chama zililetwa hapa jana mapema tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom