Eti hizi UPT zipo za kichina....?

Eti hizi UPT zipo za kichina....?

kipimo kinasema kweli ila wewe unataka majibu ya sio wakati kumbe ni ndio.hongera mkubwa kwa ushavuchaji peke
 
Ha ha haaaa.....!
vipi hukuplan?
mi nimepima jana imeonyesha kamstari kamoja, nimechukiaje?

Hizi NGOs naona zimeshindwa kazi dume,lady pepeta, mwanaume shujaa zote zinadundaaa??
Mtambuzi unakumbuka hi statement " Kiwanja changu kikubwa kilikuwa ni pale Buguruni katika baa Maarufu iitwayo Kimboka By Night meeda, Kwa mcheni, BMK. Nilikuwa nawachukua kwa ule mtindo wa cash and carry "

Si utakuwa na shule ya chekecheaaa

CC King'asti
 
Mtambuzi ushalikoroga kalinywe mwenyewe .hahaaahahahah ulipitiwa na lile jito?
 
Last edited by a moderator:
Nahisi hii tuliyonunua ni ya mchina maana naona kama vile inaongopa....

Sidhani kama inasema kweli hii kitu..

hivi mtoto kafikisha miezi mngapi vileeeee:rockon::rockon::rockon:umeshaanza mechi za mchangani,za kichina zipo lakini hiyo yako na uhakika umenunua original ila hutaki kuukubali ukweliiiiiii
 
Back
Top Bottom