Eti hizi UPT zipo za kichina....?

Eti hizi UPT zipo za kichina....?

hivi mtoto kafikisha miezi mngapi vileeeee:rockon::rockon::rockon:umeshaanza mechi za mchangani,za kichina zipo lakini hiyo yako na uhakika umenunua original ila hutaki kuukubali ukweliiiiiii

Mamboo mjuu mtundu Asnam
 
Last edited by a moderator:
Hizi NGOs naona zimeshindwa kazi dume,lady pepeta, mwanaume shujaa zote zinadundaaa??
Mtambuzi unakumbuka hi statement " Kiwanja changu kikubwa kilikuwa ni pale Buguruni katika baa Maarufu iitwayo Kimboka By Night meeda, Kwa mcheni, BMK. Nilikuwa nawachukua kwa ule mtindo wa cash and carry
"

Si utakuwa na shule ya chekecheaaa



CC King'asti




Mie nataka watoto weeee
 
Nahisi hii tuliyonunua ni ya mchina maana naona kama vile inaongopa....

Sidhani kama inasema kweli hii kitu..


Ni kweli mkuu angalia muda wa matumizi wa hiyo kitu maana tulinunu moja na tukakuta muda wa matumizi ulipita siku nyingi na niliporudi dukani walitubadilishia haraka kwa vile waliiuza wakijua kabisa kuwa Baadhi ya watu hawana utaratibu wa kuangalia muda wa matumizi kama bado uko valid. na hii si kwa UTP tu hata kwa dawa za kawaida watu wengi tuna tabia ya kutumia madawa bila kusoma muda wa matumizi
 
Back
Top Bottom