Eti hizi UPT zipo za kichina....?

Eti hizi UPT zipo za kichina....?

Hehehehe....... matokeo ya form four kweli yalikuwa halali, dah!
Mtambuzi palepale leo siyo?
Yeah kama kawaida leo tunakutana pale pale kwa Mjeda kwa ajili ya kusongesha ingawa niko kwa mood leo, hii makitu ya mchina naona inataka kuniletea presha, hata siamini aisee..........
 
Mmmh... Mkeo si alijifungua muda si mrefu ina maana kimekatikia tena? Duuh..!
Si kweli, kifaa kilikuwa feki bana, ninatafuta cha Muingereza au Mjerumani, cha mchina hakisemi kweli
 
kwi kwi kwi

mkuu, hivi condom nazo zimeadimika??

au yale makamuzi ya mje ya uwanja pia yakepigwa marufuku??
 
Si kweli, kifaa kilikuwa feki bana, ninatafuta cha Muingereza au Mjerumani, cha mchina hakisemi kweli

Hahahaaa.... Macho yatakutoka..!!

Katafute hata cha mfaransa.. Majibu ndio hayo hayo..!

Sasa baada ya kumaliza arobaini tuu umemfakamia mwenzio kwa PUPA!! Hahahaaa...
 
Yeah kama kawaida leo tunakutana pale pale kwa Mjeda kwa ajili ya kusongesha ingawa niko kwa mood leo, hii makitu ya mchina naona inataka kuniletea presha, hata siamini aisee..........

Mkuu usisahau kuja na vile vimiminika vikali
 
Nahisi hii tuliyonunua ni ya mchina maana naona kama vile inaongopa....

Sidhani kama inasema kweli hii kitu..

Mjini shule!! hiyo UPT una maana gani kati ya hizi: Universal Personal Telecommunications, User Profile Table, Unshielded Pair Twisted, Units Per Transaction, Undergraduate Pilot Training, Urine Pregnancy Test, Universal Protocol Translator, au Unit Proficiency Training!!! Funguka utuweleweshe kwani wenzio tuko huku Katavi mambo ya abbreviation hiyo ya UPT yanatupa shida!!!
 
Back
Top Bottom