Eti hili lina ukweli kuhusu wakaka wenye haya majina?

Mwaka huu lazima na mimi nitalichonga jina langu ili liishie na hizo herufi!.

Hubert, Nobert, Robert, Wilbert, Albert, Gilbert, Stuart, Stewart...nk....jichagulie hapo.......hi hi hi hi.....
 
hakuna connection yoyote.... kuna njemba moja inaitwa 'dhakari zacharia' na inawabamba kichizi mbona...
 
Hahahah! Khaa! Heheheh! Dah! Tehetehe! Duh! Aisee! Mimi bana mimi acha nijichekee tu...
 
assumption zingine zinawadanganya,prove it km wanakubalika.
 
Hii thread hii... Kiboko!

Je wenye majina ya Ismail,Mahmoud,Issa,Karim,Abdulrahman,Hussein,hayo je..
 
Back
Top Bottom