nihurumieni mbavu zangu jamani, mnaweza kuwa mnacommit mANSLAUGHTER KTK MAZINGIRA YA FURAHA BILA KUJIJUA WAKUU. Niacheni nikalale duuuuu!
mhhh! hii hatari, anataka kitaliano...mhKwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautiana
The Boss
nafikiri at the end of the day inategemea huyo mwanamke unayem-date au kuishi naye
kwa wanawake wenye uwezo wa pesa au mko nje ya nchi, ukinijia na kuku au mchele nakutimulia mbalini. aggggrrrrr .............
mwanamke anaeweza kujikimu kimaisha hahitaji zawadi za aina hiyo, anahitaji zawadi 'sentimental things' zaidi. A diamond ring, a mini cooper or chocolates and perfumes will do, thank you very much :]
gee....
kwanza huwa napata tabu mno kuku define kama mwanamke wa kitanzania....
most of the time naku group 'a bit western '...
so obviously mimi na kuku wangu hatutapita mitaa ya kwenu lol
btw.....kuna mwanamke asiependa diamonds rings????/ si ndo wanaita 'a girl 's best friend????
DC
Bibi wa Tandika nae keshaona kwenye TV na wengne weshahadithiana basi balaa tupu. Ila in reality naamini huyu wa Tandika alokuwa hana uwezo atathamini zaidi zawadi za kumkwamua kimaisha au kusogeza siku moja mbele. Kumpelekea huyu maua nadhani inakaribia uhayawani, kwa mtoaji....(just sayin')
Nadhani pia hiyo makala ya Freddy Macha iliangalia zaidi wanawake wenye kipato na sio wa huko Tandale labda (hawa ndo sauti zao husikika zaidi).
Mwanamke mwenye kipato wa hapo Sea View pia demands zake zinakuwa tofauti kwenye mapenzi, na inabidi mwanamme kuonyesha mapenzi kivyengine.....na wanawake hawa hasa ndo waliokuwa hawaridhiki na mahaba ya Mtanzania nadhani
Yaani wewe Boss unakosea, yaani mimi ni full Mswazi, through and through .....:]
Hakuna mwanamke asiyependa diamond rings lakini in reality ukimpatia mtu wa Tandale aso uwezo ataenda kuiuza ajinyanyue kimaisha (thats the logical thing to do at least) kwa hiyo ile hadhi ya 'diamond ring' inapotea. lol
Yule mwengine ukimpatia hiyo atakaa nayo pengine hadi aje amrithishe mjukuu wake, na kila akiivaa anakukumbuka The Boss. :]]
Ni kweli kabisa Gai,
Hivi, ina maana kwamba ukishakuwa na pesa unaacha kuwa Mtanzania na Mwafrika???
Kwani hakuna zawadi ambazo wababa wa kizamani kama mie na Boss tunaweza kuwapa wamama wa namna hii wakaridhika??
Nikienda safari mikoani nikarudi na magunia ya mkaa, viazi, mchele na matenga ya nyanya, ngongwe (nyanya chungu) na vitunguu hawataona kama nimeleta zawadi??
Ni kweli kabisa Gai,
Hivi, ina maana kwamba ukishakuwa na pesa unaacha kuwa Mtanzania na Mwafrika???
Kwani hakuna zawadi ambazo wababa wa kizamani kama mie na Boss tunaweza kuwapa wamama wa namna hii wakaridhika??
Nikienda safari mikoani nikarudi na magunia ya mkaa, viazi, mchele na matenga ya nyanya, ngongwe (nyanya chungu) na vitunguu hawataona kama nimeleta zawadi??
Hivi ni fair kuvaa diamond wakati kuna watu kibao wanashinda njaa au kuna ndugu zako kibao wanakosa pesa ya kunua kauzu???
Kwani katika mambo ya kuwa na mahaba, siwezi kumlipia karo shem ikamsuuza roho mwandani wangu??
Tukubali kuenenda kama ilivyo desturi yetu
Kuiga kila kitu kunatugarimu mno
Mapenzi ya kizungu si hadhi yetu
wadada wanataka uzungu
wakaka wanataka uafrika
kazi kwelikweli
Duu ehe kizazi cha dot com....Kwani na ww unategwa?hapo naelezea ukweli, kwa mfano eti kuna rafiki yangu kaachana na bf wake, kisa anaona shida anapoongea kiswahili wakati wa majambo, nikamshangaa sana, mie napenda full kiswahili,wasichana tunatofautiana
Hi Guys!,Kwa upande wangu Guys, though Mi si mtaalam hasa wa hizo issues, nilishawahi kusikia kwamba Wanaume wenye asili ya Kilatino ndio wako romantic kinoma Duniani, watu wenye asili ya Kilatino wanasifiwa sana kwenye malavidavi, ila Mi kwa Bongo nawaapriciate zaidi wanaume wa A-Town, naona wako poa vya kutosha na wanarespect women but ukimkutata jeuri utajuta, some people wanawasifu pia wanaume wa Tanga, but apart ya hiyo issue ya kuwa romantic na other personal behaviour, Bongo,wanaume wa kinyakyusa, kimachame na Kisukuma ndio wanaowacare zaidi, kuwapenda na kuwarespect wake zao, usimind kama we sio wa makabila hayo cause mtu anaweza akawa na tabia nzuri tofati na inayosifika kwenye jamii yake.