Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Ndio maana unri ukienda utaona thread nyingi humu jamnvini, za kutafuta husband material eakati usichana waliula kwa kudanga sasa uzee wanataka kumpelekea husband material
"ila tunahitaji mwanaume anaekupa thamani/heshima, "

Hili group mpo wachache.Wanawake wa siku hizi wengi wao kwenye hela hawachomoki,kuna wengine wanadiriki kujitongozesha kabisa kisa hela.
 
Waambie kina poshy waamke mkuu, sie tulishawahiwa tangu tupo chuo mwaka wa mwisho na leo hii tumetoka kusherekea miak 11 yetu ya ndoa

Angalia toka mondi ameanza kumchezea wema,penny, jokate,akarudi ten kwa wema, zari, hamisa, tanasha, na bado wengine ambao sio maarufu, halafu poshy nae kaja kajiingiza, sijui akili yake inawaza nini maskini
Naona wanawake kama vile mmeanza kuamka vile au ndio mbwembwe za huku Mtandaoni ila huko upande wa pili mnatamani zari la mondi.? Ila ki ukweli wanawake amkeni unajua ni bora kupewa hamsini nzima kuliko kupewa mia mbovu.?
 
Ujue huu ni ukweli wangu I can't date mwanaume type ya diamond kabisa, utu wangu ni muhimu na heshima, sipendi kuzalilishwa, matusi au labda money ndo unitese hyo big no. Shida wanawake wanelelewa kudanga na kuweka hela mbele mfano mabeto, alizaa na mond ili na yeye anunuliwe nyumba kwani Hana mikono?
Kazalilishwa Hadi uchawi bado hakomi kwa mond kujipendekeza licha ya mond kuwa na wanawake lukuki
Wasanii wengi wa Bongo uswahili umewajaa sana. Wanawake jaribuni kuepukana nao huko mjini. Ila kwa wewe sina wasiwasi naona unacho ongea ndicho unacho maanisha hongera sana mkuu.
 
Yaani hapo ndio wanawake wanaponiangusha, wanapenda kujishushia heshima wenyewe

Mimi hata simlaumu mondi, hao wanawake ji wajinga ndio maa a mondi anawachezea anavyotaka maana wamechagua maisha hayo ya kuchezewa na kufhakilishwa kisa pesa na umaarufu
Wengine wanataka tu awalale bure instead ya kufanya kazi, Yani kulalwa na diamond nayo ni achievement, wengine Hadi kutegesha mimba na Sasa wamebaki single mother huwa nashangaa huwa wanatumia akili gani.
Hapo kwa wanaume majority wanafikiria nikiwa na fame, money naweza kumfanyia mwanamke lolote vile ana shida asinifanye kitu, wanasahau swala la utu na heshima kwa mwanamke wake.
 
Pesa ndo mtego wa ma slay queen wote mjini, utawala hadi wakuachie na ukimwi
 
Waambie kina poshy waamke mkuu, sie tulishawahiwa tangu tupo chuo mwaka wa mwisho na leo hii tumetoka kusherekea miak 11 yetu ya ndoa

Angalia toka mondi ameanza kumchezea wema,penny, jokate,akarudi ten kwa wema, zari, hamisa, tanasha, na bado wengine ambao sio maarufu, halafu poshy nae kaja kajiingiza, sijui akili yake inawaza nini maskini
Wapo humu ndani mkuu wanasoma kila kitu wala usijali.
 
Waambie kina poshy waamke mkuu, sie tulishawahiwa tangu tupo chuo mwaka wa mwisho na leo hii tumetoka kusherekea miak 11 yetu ya ndoa

Angalia toka mondi ameanza kumchezea wema,penny, jokate,akarudi ten kwa wema, zari, hamisa, tanasha, na bado wengine ambao sio maarufu, halafu poshy nae kaja kajiingiza, sijui akili yake inawaza nini maskini
Si wanataka pesa na umaarufu, kwan kuna kingine dea?
 
Yaani hapo ndio wanawake wanaponiangusha, wanapenda kujishushia heshima wenyewe

Mimi hata simlaumu mondi, hao wanawake ji wajinga ndio maa a mondi anawachezea anavyotaka maana wamechagua maisha hayo ya kuchezewa na kufhakilishwa kisa pesa na umaarufu
Wao wanachojali ni fame tu imagine nilikuwa namkubali zari Ila I wonder jinsi alivokuwa ana act na mond Mara kushikwa shikwa hovyo na kupost video, Mara love bite na ana watoto wakubwa wenye akili timamu, licha ya kufanya hivo yote wakaachana kwa aibu.
Huyo posh kamubebea na mimba kabisa, acha tu mond awanyooshe kwa kweli Mana wanajipelekesha
 
Hee na amimba juu? Basi wanawake aina ya poshy bado wapi wengi sana, hajajifunza kwa wenzake?

Kiukweli Zari na utu uzima ule alifanya mistake kubwa sana kwenye maisha yake
Wao wanachojali ni fame tu imagine nilikuwa namkubali zari Ila I wonder jinsi alivokuwa ana act na mond Mara kushikwa shikwa hovyo na kupost video, Mara love bite na ana watoto wakubwa wenye akili timamu, licha ya kufanya hivo yote wakaachana kwa aibu.
Huyo posh kamubebea na mimba kabisa, acha tu mond awanyooshe kwa kweli Mana wanajipelekesha
 
Hata km n hvyo ndio zipotee pasipo msingi? Khaaaah yaan me siamini ktk hili, sasa anakwama wapi huyu posh km mil 10 kwake n hela ya game 1? Aaaaaah
Wewe ndo unaona nyingi mkuu
Kiwango cha pesa kinaendana na matumizi yani uyo ni sawa na yule wa buguruni tu anavyomake apate ya kiwalo kipya tunaishi dunia moja ulimwengu tofauti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom