Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Ah..ndugu yangu hebu twende taratibu kidogo hv kweli Kwa hali hii jua linavyowaka hv kuna mwanamke kweli wa kumkataa kijana km dewji,samatta,diamond,kiba na wengineo wenye mafanikio katika nyanja tofauti tofauti? Mwanamke hupenda mwanaume mwenye mafanikio hyo tangu enzi na enzi kabla haijawa kipimo ilikuwa mwanaume mwenye mashamba na mifugo ya kutosha mimi bado sijafanikiwa ila huu ukweli mchungu naujua mpenzi wangu mamuamini lakini nina uhakika kuna baadhi ya angel akibananishwa hatoki ng'o acha nitafute hela tu sio lazma nifanane nao huwezi tafuta hela ukawazidi wote ila japo ya kujikimu na kumtunza mtoto mzuri isiwe pangu pakavu kabisa lawama hiyo!
😂🙌🏾 you have spit the naked truth
 
Njoo kwangu mi staki pesa kabisa japo Nshazeeka mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom