Tetesi: Eti, Diamond ana-date na Poshy Queen, ingawa mahusiano yao hayapo official huku mtandaoni

Mkuu ukijiona pesa unayo ,na bado unakataliwa basi wewe ndy una shida...jitathmini Mkuu... Pesa pia uwe smart...manukato mazuri nk...sio unanuka shombo hizo pesa zako kila mtu ataziogopa....hicho kitu ni hakika kabisa,,,money talk...hakuna mwanamke wa kukataa milioni..
Ushamba unakusumbua
 
Shida Mimi staki kuwa staha wakipuuzi Mimi kihivo wallah, na siwezi kabisa sialini kwenye u short cut hivo.
Bora huo mda niutumie ku build my career from one stage mtu kukuvusha kwa vitu serious.
Though saa nyingine naweza date mtu wa ajabu asiye add kitu kwangu Ila kutoka na diamond ni matusi aisee na kukosa akili.
A date tu na watu type yake wasio na maadili
Utakua unajitambua, hongera.
 
Hivi huyu kwini ........ni kwini mpaka kule kwa bibi au kwa bibi ni machimbo ya wazi?????😃😃😃
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom