Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,279
- 2,526
Ulimwengu wa pili!!?Kukitokea uwakilishi bungeni kwenye mambo ya ulimwengu wa pili naomba unipendekeze tafadhali
We jamaa!hebu nieleze VIZURI hii kitu ni ipi!?
Ulimwengu wa pili!!?Kukitokea uwakilishi bungeni kwenye mambo ya ulimwengu wa pili naomba unipendekeze tafadhali
Kamati KuuSio TISS,ni CCMISS
FANYA kumuinbox utajua mkuu anamanisha nini, haijalishi iko vipi ila serikali nyingi , zimejikita katika ulimwengu wa pili , Kama kiongonzi alivyo sema ,Ulimwengu wa pili!!?
We jamaa!hebu nieleze VIZURI hii kitu ni ipi!?
Ulimwengu ambao formula zake zinapimwa kwa matokeo na si ithibati za kisayansiUlimwengu wa pili!!?
We jamaa!hebu nieleze VIZURI hii kitu ni ipi!?