Eti CHADEMA ni chama cha kifamilia?

Eti CHADEMA ni chama cha kifamilia?

nfa maji hakosi kutapa tapa.............muziki igunga
 
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha.

Shitambala ambaye alikihama chama hicho, alikuwa akizungumza jana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika Kata ya Majengo jijini Mbeya.

MwanaCCM huyo alisema Chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

Alisema CCM ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana
madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao. Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo
sababu sikukubali kufanya vurugu

SOURCE: Habari leo

Ni laana ya kuwasaliti watanzania...
 
Njaa mbaya sana wandugu. Jamaa kaamua kuchukua chake mapema na kuufumbia macho ukweli.
 
Hilo mbona lipo wazi ni kweli ni cha cha kifamilia, Familia ya (Ndesamburo) Familia ya (Lissu) Familia ya (Mbowe) Familia ya (Mtei)
 
Mkielemewa ndo mlivyo mna maneno mengi sana ya blaa blaa..... Mwishoni mtasema hata Mchungaji Msigwa ni binadamu yake mwanzilishi, Mr. 2 aliwah imba kwenye birthday ya mtoto wa mwanzilishi, Mnyika jirani yao pale mtaani, n.k....
This is non-sense, Tunataka sera nzuri za maendeleo sio chama cha nani?! Hata ww na mkeo au mmeo na ndugu zako mkianzisha chama tutaingia na kuwasapoti endapo tu mtakua na sera nzuri za kuiendeleza nchi yetu.
Tatizo tumeshalijua kwamba Mbowe hahongeki na hawezi kukiuza chama Never.
Dr Slaa hahongeki na hawezi kukiuza chama -- i this case CDM inakuawa CHAMA madhubuti sana katika histori ya nchi hii sababu viongozi wake wakuu huwezi kuwanunua kwa gharama yoyote ile, na wabunge wa chadema ndiyo machachari na wanasimamia hoja zao.

NCCR ilikuwapo lakini wote mnajua yaliyotokea.

Kwa hiyo watakuja na kila hoja
1. Chama cha wakristo
2. Chama cha wachagga
3. Chama cha wakatoriki
4. Chama cha kanda ya kaskazini
5. DR. Slaa ni Askofu
6. Chama cha uchochezi nchini
7. Chama cha kifamilia
.....
......

Hoja kama hizi ukimwambia mtanzania wa leo ni kama unapoteza muda wako, yeye anataka majibu ya hoja za msingi wewe unakuja na mambo kama hayo.

Haya yote ni kwa sababu wameshindwa kujenga hoja ambayo wananchi watarudisha imani kwao, na hii ni tatizo wanalijua na linawatafuna kila siku.
 
All this cause wameshindwa kujenga hoja ambayo wananchi watarudisha imani kwao, na hii ni tatizo wanalijua na linawatafuna kila siku.

Hizo red nazikubali sana.
 
Tatizo tumeshalijua kwamba Mbowe hahongeki na hawezi kukiuza chama Never.
Dr Slaa hahongeki na hawezi kukiuza chama -- i this case CDM inakuawa CHAMA madhubuti sana katika histori ya nchi hii sababu viongozi wake wakuu huwezi kuwanunua kwa gharama yoyote ile, na wabunge wa chadema ndiyo machachari na wanasimamia hoja zao.

NCCR ilikuwapo lakini wote mnajua yaliyotokea.

Kwa hiyo watakuja na kila hoja
1. Chama cha wakristo
2. Chama cha wachagga
3. Chama cha wakatoriki
4. Chama cha kanda ya kaskazini
5. DR. Slaa ni Askofu
6. Chama cha uchochezi nchini
7. Chama cha kifamilia
.....
......

Hoja kama hizi ukimwambia mtanzania wa leo ni kama unapoteza muda wako, yeye anataka majibu ya hoja za msingi wewe unakuja na mambo kama hayo.

Haya yote ni kwa sababu wameshindwa kujenga hoja ambayo wananchi watarudisha imani kwao, na hii ni tatizo wanalijua na linawatafuna kila siku.

Umesahau Chadema ni
1. Wazee wa tindikali
2. Wazee wa wake za watu
3.Mademu wa kusagana
4..................
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
dogpooping.gif
 
MwanaCCM huyo alisema Chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

Alisema CCM ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

“ Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni'.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,”
......

100% true. That is the true colour of CDM.
 
kuna kitu kina miss kati ya undeerstanding ya wapiga kura na genuine politix za tanzania, mi nahisi ni time! time will come wen votes will understand white from black
 
Huyo alie sema atakua anamatizo, ni kawaida mtu akihama chama anaponda alikotoka
 
umekaa chadema miaka yote hiyo hayo yote ukuyaona leo hii ndio ghafla umegundua hilo. pole sana.
 
aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), sambwee shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha.

Shitambala ambaye alikihama chama hicho, alikuwa akizungumza jana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama cha mapinduzi (ccm) kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata ya majengo jijini mbeya.

Mwanaccm huyo alisema chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

alisema ccm ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana
madaraka wao wenyewe.

“tunataka chama kitakachokuwa cha watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao. Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,” alisema na kuongeza: “mimi nilikuwa mwenyekiti wao mkoa wa mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo
sababu sikukubali kufanya vurugu

source: Habari leo
ccm ni chama kisichokuwa na mwenyewe??
 
tunachotaka sisi ni sera na fikra zinazoishi ambazo zinatekelezeka katika ukweli wake, kuwa chama cha kifamilia au cha ukoo siyo hoja ya msingi kuijaji chadema.... kwani wewe unaelewa familia inamana gani, hata mimi nikiwa naishi peke yangu au na wenzangu ni familia... na kila mtu anafamilia ni kweli chadema ni chama cha watu waliotoka kwenye familia. kuwa na fikra endelevu.....
 
Siku zote mwongo hujulikana mapema sana...anyway mtazamo wangu siku zote upo hivi CCM for 50Good years ..bado tunakuwa katika hali hii sihitaji kusema kila mwenye jicho/masikio anajionea...miaka 50 ya uongo uongo na usanii usanii vinatosha sana kwa mwenye kuamua kufanya maamuzi mengine Ukiniambia nichague kati ya Sokwe na mwana CCM nitachagua Sokwe ..sometimes ninaweza kuwa nimefanya maamuzi sahihi kwa sababu sina cha kupoteza hata kama nitakuwa nimefanya maamuzi mabovu...ili nijirekebishe kipindi cha pili.....NAICHUKIA CCM NA WATU WAKE WOTE
 
Njaa mbaya kwelikweli, shitambala inaonekana elimu yake haimsaidii, kumbuka kila jambo au kitu kianze lazima kiwe na mwanzilishi hata kuja kwa ccm hawakuanzisha watu  mia moja kuna mtu aliyetoa wazo then chama kikawa, hata kwenye familia yako hakuna kitu kinachoshuka toka mbinguni, chama cha demokrasia na maendeleo ndio mkombozi wa wote wapinga udhalimu, mwl nyerere aliwekwa ndani akidai uhuru ule ulikuwa niupuuzi? ndo madhara ya mamluki, pole mtumwa wa tumbo. mikoa mitano haijapangiwa wakuu wa mikoa na wilaya, endelea kupiga kelele kama mwehu utaonekana
 
Kweli Mungu mkubwa kwa huyu jamaa angekuwa yupo arusha ange jua kama ni chama cha kifamilia akiona moto wake asingetembea barabarani angetemewa mate kama bayo kwamaana ccm si chama chafamilia rizi wani miraji mama salima kikwete huseni mwinyi januar makamba nk hapa kwenye baba na mama na wana walikuwa wanazunguka kumpigia baba kampeni cyo familia jamani hakuna haja kujibishana nawajinga
 
Back
Top Bottom