Eti CHADEMA ni chama cha kifamilia?

Eti CHADEMA ni chama cha kifamilia?

Kumbe chanzo chako ni habari leo! Sizani kama kuna haja ya kujadili uzushi huu.
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mkoa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Sambwee Shitambala ameendelea kukiponda chama hicho akisema ni cha wanafamilia wanaokitumia kujinufaisha.

Shitambala ambaye alikihama chama hicho, alikuwa akizungumza jana katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa madiwani katika Kata ya Majengo jijini Mbeya.

MwanaCCM huyo alisema Chadema chama hicho hakitaweza kupiga hatua kutokana na kuwa sawa na genge la wachache ambaao ni wana familia wanaokitumia kujinufaisha.

Alisema CCM ndicho chama kinachoonekana kutokuwa na mwenyewe.

Alisema vingine vipo chini ya watu wachache hali ambayo vimekuwa vikipeana
madaraka wao wenyewe.

“Tunataka chama kitakachokuwa cha Watanzania wote, ambao wakawa na kauli juu ya chama chao. Hatuhitaji chama kinachoongozwa na genge la wahuni.

Mtu kakianzisha kaweka hati nyumbani kwake, mwingine kaenda kaoa mke kwa mwenye chama kapewa uenyekiti.

Matokeo yake kinakuwa chama cha baba, mtoto na mkwe, hicho si chama,” alisema na kuongeza: “Mimi nilikuwa Mwenyekiti wao Mkoa wa Mbeya lakini nina historia ya kushindana nao katika suala la migomo.

Ndiyo maana sina historia chafu ya kukamatwa wala kufikishwa mahakamani kwa kuongoza migomo ama maandamano yasiyo na kibali. Hii yote ni kwakuwa napenda amani ndiyo
sababu sikukubali kufanya vurugu

SOURCE: Habari leo
 
Shitambala yu sahihi; Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete; Ally H Mwinyi, Hussein Mwinyi; Marehemu Moses Nnauye, Napendwa NNauye; Marehemu Abedi A Karume, Amani Karume; Yusufu Makamba, Januari Makamba. Hapo sijaweka wakwe, mashemeji nk n.k.
Anachochanganyikiwa Shitambala ni kuwa ufamilia uko CCM, siyo CDM. Maana hatujasikia kuwa wakati wa uenyekiti wake Mby, kulikuwa na Shitambala mwingine.
[/COLOR]]upo sawa shitambala...ukweli unauma. wengi hatujui mengi.
 
Hii habari imebeba ukweli mwingi sana. Ni kweli kabisa ukiangalia matukio ya siku za karibuni na hasa kitendo cha Mbowe kumkatalia Zitto uenyekiti utagundua kabisa kuwa Chadema ni taasisi ya mtu mmoja. Habari zinasema kuwa pale kama huna uhusiano mzuri na Mbowe usitarajie kupata hata ujumbe wa chama. Si mnakumbuka jinsi ishu ya Heche ilivyopelekwapelekwa?

Watu weweeee!? Kweli we umetumia masaburi kweli hongera sana
 
Umesahau Chadema ni
1. Wazee wa tindikali
2. Wazee wa wake za watu
3.Mademu wa kusagana
4..................
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Pia umesahau CCM wazee wa uzinzi -- kazi na dawa kwa kutumia hela ya kampeni -- ha ha ha
 
Shitambala tema mate chini amin nakuambia haiotopita siku 3 jogoo atawika,ona ushaumbuka upo kwenye maandamano haya sasa njoo ujitetee ni photoshop
 
Back
Top Bottom