Eti angejiitaje??

Eti angejiitaje??

Kikwapa chako kinatema??

Sanaaa, kama cha wadada wa Sima CCM wakitoka kuchota maji hehehehehehe. Hakisikii deodorant wala manukato ya aina yeyote ile. Labda uniletee ndimu nijaribu laa sivyo utapata mafua ya ndege aahahahahahahhahahahaaaa Chamwitu weeh.

Andaa oxygen kabisa usije ukazimia baada ya kunusa.
 
*** you Kasiba
 
Hahahahahahhaa Don umenifanya niachie tabasamu matata mbele za watu looh, asante kwa hilo.

Poa umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo walilinganisha wanamziki wawili na kuuliza swali kati ya Banana Zoro na Mr. Blue. Yaani Banana Zoro alifungua band na kuiita Banana Band, swali.... Je, Mr. Blue akifungua Band, hiyo band itaitwaje?

Jibu: ...................
Hahahahahahahahahahaaaa

Ila nnavopenda matusi acha nikujibu tuu donlucchese

Angeitwa kuuma boy ondoa u moja kwenye neno.
Hahahah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom