Eti angejiitaje??

Eti angejiitaje??

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
.
Screenshot_2018-03-22-22-05-45-1.jpg
 
Sema tu nna kasumba ya kusoma kabla ya kuandika. Hilo jina limenijia kichwani kutahamaki mama yeyoo ameshajibu.

Kama WAMAkonde ni Konde Boy, WASUkuma tukiondoa WAMA na WASU kila upande kitakachobaki nikiandikwa modes watanichagulia Avatar nyingine kwa muda.
Hahahaha
 
Mods hawawezi kukuchagulia avatar nyingine we tamka tu jamani
 
Hahahahahahhaa Don umenifanya niachie tabasamu matata mbele za watu looh, asante kwa hilo.

Poa umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo walilinganisha wanamziki wawili na kuuliza swali kati ya Banana Zoro na Mr. Blue. Yaani Banana Zoro alifungua band na kuiita Banana Band, swali.... Je, Mr. Blue akifungua Band, hiyo band itaitwaje?

Jibu: ...................
Hahahahahahahahahahaaaa

Ila nnavopenda matusi acha nikujibu tuu donlucchese

Angeitwa kuuma boy ondoa u moja kwenye neno.
 
Hahahahahahhaa Don umenifanya niachie tabasamu matata mbele za watu looh, asante kwa hilo.

Poa umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo walilinganisha wanamziki wawili na kuuliza swali kati ya Banana Zoro na Mr. Blue. Yaani Banana Zoro alifanyiwa band na kuiita Banana Band, swali.... Je, Mr. Blue akifungua Band anahitaji?

Jibu: ...................
Hahahahahahahahahahaaaa

Ila nnavopenda matusi acha nikujibu tuu donlucchese

Angeitwa kuuma boy ondoa u moja kwenye neno.

Kasiba boy.

*** you.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom