🍻kodi lazima zilipwe mkuu😁Hapa saizi amenuna nami nineondoka nipo sehem naupa mwili pole tartiiib...🍺
Fanya maombi mkuu...Kuna hii Gen-Z mkuu, bora nirudi kwa millenia
Hahaaa kuna watu hawatakuelewa aisee unachosema comrade.Mie nimemjibu kwamba.....
Siwezi kurudia kosa tena....😒
Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
Mke wako ndiye anakujibu hivyo? Kwa hiyo anataka wewe utangulie mbele ya haki kabla yake?Mie nimemjibu kwamba.....
Siwezi kurudia kosa tena....😒
Eti nimekosea kumjibu hivyo wakuu....🙄
Hahahaa poa comradeChuma bado ipo comrade, natamba nayo tu...😜