Eti anataka kuona, hii imekaaje wadau.

Eti anataka kuona, hii imekaaje wadau.

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Rafiki yangu ni born again, anasali kwenye kanisa moja maharufu hapa bongo. Anampenzi wake ambaye naye ni born again wamepanga kuoana. Moja ya sharti la maborn again ni kutokufanya mambo yetu yale mpaka kieleweke (ndoa).

Jana binti kamjia na mpya ya mwaka kwake. Walikuwa wamekaa sehemu nyakati za usiku kwa ajili ya kupanga mambo yao ili waweze kukamilisha taratibu za uchumba ikiwemo kupeleka barua na maandalizi ya mahari. Cha ajabu binti jana kamlazimisha rafiki yangu amuonyeshe dushelele kabla ya taratibu zote.

Je wadau, binti akiona hapo si sawasawa na kuwa ameshafanya zinaa au???? Aone ili iweje?????????
 
Did you not read? SIZE DOES MATTER!
 
Kuona si kutamani, hivyo hatakuwa ametenda dhambi yoyote na hata akishika bila kutamani moyoni mwake hatakuwa ametenda dhambi. sijui na jamaa naye akiomba kuangalia ya binti atakubali.
 
Huyo dada ana akili sana

Anajua madhara ya ku use bila ku shake
Lazima ukaguzi ufanyike kwanza

Akikuta haipo siku ya ndoa je?

Unaweza ukawa hujanielewa
Yaani siku ya ndoa ikifika halafu akakuta flat tu itakuwaje?
 
Kuona si kutamani, hivyo hatakuwa ametenda dhambi yoyote na hata akishika bila kutamani moyoni mwake hatakuwa ametenda dhambi. sijui na jamaa naye akiomba kuangalia ya binti atakubali.

Hivi nikuona????
 
Rafiki yangu ni born again, anasali kwenye kanisa moja maharufu hapa bongo. Anampenzi wake ambaye naye ni born again wamepanga kuoana. Moja ya sharti la maborn again ni kutokufanya mambo yetu yale mpaka kieleweke (ndoa).

Jana binti kamjia na mpya ya mwaka kwake. Walikuwa wamekaa sehemu nyakati za usiku kwa ajili ya kupanga mambo yao ili waweze kukamilisha taratibu za uchumba ikiwemo kupeleka barua na maandalizi ya mahari. Cha ajabu binti jana kamlazimisha rafiki yangu amuonyeshe dushelele kabla ya taratibu zote.

Je wadau, binti akiona hapo si sawasawa na kuwa ameshafanya zinaa au???? Aone ili iweje?????????
amruhusu ashike tu bila kuona !! itakuwa noma...
 
Wasiwasi wake sijui nini!!!! Yawezekena ana option mbili Labda anaogopa kibamia au anaogopa mguu wa mtoto. Watu siku hizi mapenzi wameyaamishia katika kugegedena na kuyatoa moyoni. Poleni sana wanadamu
 
Nilifikiri wanaume tu ndio tuna wasi wasi na haya mambo kumbe hata wao? Hapo cha kufanya waonyeshane na ikibidi mwanaume ahakikishe kabisa kama njia ipo lol...
 
wamalize kabisa hii kitu waache kupoteza muda
 
Kwa nini wasitest hata kidogo ili kila mmoja ahakikishe uwezo wa mwenzake kitandani,
na ikiwezekana jamaa naye amkague demu kama hajawahi kugawa 0717....!
 
Ametumia tafsida anataka amgegede binti ana genye ya kufa mtu akizubaa wajanza watamsaidia kupunguza genye ya bimti na akinogewa Ohooooo!!!
 
Kuona si kutamani, hivyo hatakuwa ametenda dhambi yoyote na hata akishika bila kutamani moyoni mwake hatakuwa ametenda dhambi. sijui na jamaa naye akiomba kuangalia ya binti atakubali.

Why baadhi ya watu husema kuvaa nusu uchi ni sehemu ya dhambi how about this! is it comes? labda anaeonyesha naye awe THE HIGHEST CLAYZ MORE THAN CLAIES
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom