Eti ananitishia ushirikina

Kweli watu wenye akili ndogo ni mzigo.

Na kupata mwenza mwenye akili ya kutosha (kwani si lazima upate mwenye akili kubwa) ni kazi sana.

Kwa mfano, hivi videmu vya CBE bana vina mashauzi sana. Nadhani vipo hapo CBE kwa sababu kiakili havina uwezo wa kumudu sehemu kama UDSM au SAUT.

Hivi hapo CBE ni dampo la waliopata divisheni 4 na 5? Manake vidada vya hapo kwa kujifanya vya viwango tu havijambo.

Kiingereza havijui lakini vinapenda kujifanya vinajua. Sijui nani kavidanganya kuwa ukiongea Kiswahili na kuchomekea chomekea Kiingereza chako cha kuunga unga ndo utaonekana wa kileo, kwamba unaenda na wakati....umestaarabika.

Nyambaaf kabisa.

Vingine kweli ni vizuri vya maumbo na sura lakini akili za darasani na hata zile za kawaida tu za kidunia havina. Mjini hapa vinaishi kwa kutegemea zaidi wanaume, tena kwa kiasi kikubwa tu.

Vichwa vyao havina kazi zaidi ya kushonea minywele bandia. Bure kabisa yaani.

Sina takwimu wala nini lakini pia sina shaka kuwa vimdada kama hivyo vinaongoza kwa mambo ya ushirikina. Kuna kimoja hicho kimediriki hadi kunitishia kuwa eti niwe mwangalifu...nitarogwa na wadada nishindwe hata kujielewa.

Kimdada kama hicho hata ukijaribu kukieleza kuwa hayo ni mambo ya usasili tu, ya kufikirika tu, ni ya kiimani tu....hakiwezi kukuelewa kwa sababu hakana ubongo wa kuweza kuchakata hoja zilizo za kinadharia zaidi.

Na ndo maana havijui hata tofauti ya kujua na kusadiki au uhalisia na imani.

Yaani mimi huyu huyu nirogwe? Hahahaaa hivi vimdada bana....huko CBE naona vinafundishwa ujinga tu.

Mkuu pole bana duniani hapa usanii no mwingi yawezekana hata hapo CBE wanafaulu kwa vitisho vya ushirikina.
 
Teh Teh muone haraka mashana jr akupe dawa kabla ujarogwa...!

Kusema ukweli wasichana walio wengi wanategenea sana ushirikina kwenye mahusiano..
 
CBE, magogoni, na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo navyo ni majipu. Serikali ingevifutilia mbali ibaki VETA. Vinazalisha wajinga na wasiojielewa. Wasichana wanajifunza kujizuia kupitia hivyo vyuo....
Hata mfumo wa ufundishaji katika hivyo vyuo haujakaa sawa.
 
CBE, magogoni, na vyuo vingine vinavyofanana na hivyo navyo ni majipu. Serikali ingevifutilia mbali ibaki VETA. Vinazalisha wajinga na wasiojielewa. Wasichana wanajifunza kujizuia kupitia hivyo vyuo....
Hata mfumo wa ufundishaji katika hivyo vyuo haujakaa sawa.

Mambo Reina..?
 
Hakuna cha ushirikina wala nini...kama wanaweza kumroga mwanaume kwanini wasiroge wapate pesa? Watu weusi tuna walakin katika akili zetu.

Hapo ukimuuliza kama alishawahi kushuhudia uchawi wowote jibu ni NO.
 
Back
Top Bottom