Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Wanajamiiforum habari zilizo andikwa humu janvini zikidai kuwa waziri mkuu wa Ethiopia amefariki sio za kweli jamaa bado yuko hai anaendelea kulicover taratibu.
source: EATV
Si muhimu afe au awe hai sisi Tanzania hapa tuna mengi Mungu amlinde na mleta hoja vipi ndiyo shule za CCM hizi za Kata