et i inasemekana lulu alitumwa kumuua kanumba?

We nduguye the late sheikh Yahya?

Kwani kuomba ahudhurie mazishi ndio nini? Tafsiri yako haiwezi kuwa 'UKWELI' unless ulikuwepo eneo la tukio, wakati wa tukio au una namna ya kuona yale yasiyoonekana.

.....im just thinking deeeeppppp......
Take ur time......
 
wana jf naombeni ukweli juu ya hili eti kila kona ukipita watu wanasema kuwa lulu alitumwa kumuua kanumba hivyo anayejua lolote naomba anijuze huyo mtu aliyemtuma ni nani?

Ukweli anaujua Lulu na Kanumba, utakayosikia mengine ni umbea tu.
 
Sasa hizi taarifa zako si tetesi, asa kwa nini iwe ligi wakati hazina uhakika
 
Hivi mbona watu mwatafuta sana majibu? Ili mtafute haki? Hivi kweli Lulu anaweza kukubali kuua akiwa yeye wa mwisho kuwa Na Marehemu? Seth si kasema... The girl is innocent, manslaughter mtu yoyote yaweza mkuta.
 
We nduguye the late sheikh Yahya?

Kwani kuomba ahudhurie mazishi ndio nini? Tafsiri yako haiwezi kuwa 'UKWELI' unless ulikuwepo eneo la tukio, wakati wa tukio au una namna ya kuona yale yasiyoonekana.

Vipi wewe walionaje hili? Mbona Kama wamuhukumu sana huyu dogo.
 
We nduguye the late sheikh Yahya?

Kwani kuomba ahudhurie mazishi ndio nini? Tafsiri yako haiwezi kuwa 'UKWELI' unless ulikuwepo eneo la tukio, wakati wa tukio au una namna ya kuona yale yasiyoonekana.

Asante Lizzy, mimi ndo maana nakupenda sana.
 
Ukweli anaujua Lulu na Kanumba, utakayosikia mengine ni umbea tu.

Good point.....watu wamezidi kila mtu anasema lake inakera kweli utafikiri kuna mtu alikua chini ya kitanda akishuhudia yaliokua yakitokea aaarrrggghhhhh
 
kama kuna taarifa utazipa tu wala huna haja kuuliza, unless wewe unataka kutupa taarifa sisi
 
Vipi wewe walionaje hili? Mbona Kama wamuhukumu sana huyu dogo.

Kama kusema yeye ndie anaejua zaidi ya mtu mwingine yeyote yule ni kumhukumu. . . .basi nampa pole maana hamna ukweli unaozidi huo.
 
Asante Lizzy, mimi ndo maana nakupenda sana.

Asante Yummy. . .
Watu wanachosha kweli kujifanya walikuwepo na wanajua zaidi hata ya huyo mhusika. Sijui akija confess akasema ndio nilifanya hivi na hivi watabadili vipi upande. Au ndo wale watakaoendelea kwa kudai kua kalazimishwa kukubali kosa.
 
Back
Top Bottom